gari

  1. Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

    Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine? Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
  2. Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  3. Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

    Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma. Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km. Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe...
  4. Gari gani ya mitsubishi ni nzuri kutembelea

    eti wakuu kwa hizi gari za familia za kutembelea ipi ni gari nzuri ya mitsubishi?
  5. Napata wapi gari zinazozalishwa na Masoud Kipanya?

    Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya. Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
  6. Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  7. T

    Goodluck Gozbert kiroho yupo sahihi kuchoma gari soma hii.. 1Sam15-20

    Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri. Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk. Ndugu...
  8. Baada ya tukio la kuchoma gari ni muda wa kurudi tena katika chati ya injili

    Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu. Bila shaka tutakusikia tena...
  9. Kabla ya Good luck Gozbert kuchoma gari angeanza na kujiuliza maswali yafuatayo

    Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi. Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo. Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga. Baada ya...
  10. W

    usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  11. K

    Je naweza ungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari?

    Salaam, Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
  12. TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

    Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
  13. Mama yako na Mke wako nani anastahili kukaa siti ya mbele ya Gari yako mnapotoka wote kwa pamoja?

    Wakuu naomba ufafanuzi katika hili. Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma. Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma. Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
  14. Aisee! kuna Magari mazuri sana duniani

  15. Je, unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

    Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi. Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break. Au unaweza kutumia mguu mmoja...
  16. Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
  17. KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

    Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa N...
  18. Car4Sale Gari inauzwa Mbeya mjini

    Gari aina ya crown inauzwa mbeya mjini kwa maelezo yooote,,, Call this number 0756944830 Au 0629903097..
  19. M

    Uchaguzi wa Gari zuri

    Habari za leo wanajamvi Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama 1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku) 2. Upatikanaji wa vifaa 3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu Ni lipi gari zuri kati ya hizi 1. Subaru XT 2. Suzuki...
  20. Ramadhan Ally Idavas ameacha vyeti vyake kwenye gari. Msaada ili avipate

    AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo. Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es Salaam. Nilishukia Feri (Dumila - Morogoro) Begi lake lina; 1. Vyeti Kidato cha Nne - Ujenzi Secondary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…