gari

  1. VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  2. Gari ya mikosi, njooni mnisaidie

    Habari wadau? Kuna notion kwamba unaweza kununua gari kwa mtu yaani second hand inaweza kuwa imebeba laana au mikosi au mabalaa. Ipo hivi mwaka huu nimenunua gari ni kama mwenye gari yeye hajatembelea sana ila cha kushanganza toka ninunue hii gari nilishapata nayo ajali like 4 times. Ajali ya...
  3. M

    Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  4. M

    Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
  5. kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  6. E

    Car4Sale Agiza Nasi Gari

    Agiza nasi Mitsubishi RVR 🔸Year 2010 🔸CC 1790 🔸Km 45,516 🔸Engine 4B10 🔸Gray Color 🔸Seating Capacity 5 🔹DVD Radio 🔹Back view camera 🔹Navigation system 🔹Push to start 🔹Fog lights 🔹Winker mirrors 🔹Cruise Control 🔹Traction Control 🔹Rear Spoiler 🔹Steering Switch 🔹Keyless entry 🔹Alloy Rims Sport...
  7. Dawa ya sofa, carpet na seat za gari

    Dawa nzuri ya kusafisha sofa,carpet na seat za gari unatumia povu tuu kwa 15,000 ina ujazo wa lita moja na brush zake, whatsup: 0757785804
  8. Hamilton na Ferrari prove that hakuna dereva mzuri kwenye gari mbovu

    Sir Lewis Hamilton anaendelea kustruggle huku watoto wa McLaren wakiendelea kuwasha moto lawama ni kwa engineers na mipango ya team. Ukisoma comments nyingi za wapenzi wa F1 ni kuwa Sir hapati ushirikiano na agenda ni kumtoa kwenye reli huyu bingwa mara 7 hapo ndio utajua kuwa roho mbaya haipo...
  9. Gari gani Dogo (SUV) inayofaa kwa biashara?

    Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa! Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee? ( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya ) Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea...
  10. Kutumia Spare Parts Feki? Unacheza na Usalama wa Gari Lako

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...
  11. Gari yangu haipandishi mshale wa speed na feni ya rejejeta haizunguki

    Wakuu habari Gari yangu haipandishi mshale wa speed ukiendesha pamoja na feni ya reheat haizunguki hivy kupelekea Gari kuchemsha shida inaweza kuwa nn? NB tatzo limeanza jioni hii wakati natoka job
  12. Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  13. Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

    Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
  14. M

    mada maalumu ya magari , ufundi , garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  15. Hili gari namba A mbona kama ni model mpya?

    Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
  16. M

    Nahitaji gari, IST

    Habari za usiku huu. Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
  17. Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Ipo Dar es Salaam, bei 7M(Negotiable), Namba D, km 135649. CC 625. Kama unahitaji nicheki 0624987746
  18. Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  19. M

    Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Gari ninazouza bado ziko vzr mpya na zmetunzwa vzr.Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  20. N

    Natafuta fundi wa Gari - Forester

    Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:- i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond. Nitashukuru kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…