gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  2. E

    Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

    Salaam Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari. Msaada, asanteni
  3. H

    Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  4. Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  5. Kitu gani kilikufanya uache tabia fulani

    Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu. Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi. Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo rahisi ata kidogo, kwa sababu nilisha jaribu sana ila nikashindwa. Wana jamvi elezeni pia visa vyenu...
  6. Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  7. Ni simu gani hutakaa utumie?

    Ni simu aina huta diriki kununua tena au hata ukipewa bure hutaki kabisa kuisikia?
  8. W

    Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  9. M

    Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

    Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote...
  10. D

    Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

    Kuna huyu aliyesema; " I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
  11. Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

    Mtoto anaumwa kama ivyo ni ugonjwa gani na unatika kwa dawa gan?
  12. Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

    Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
  13. Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  14. "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
  15. Misemo gani ya kijinga na kipumbavu watu hutumia kufarijiana?

    I) Leo kwangu kesho kwake ii) Aliyempa yeye ndo aliyeninyima mimi iii) Kama ipo ipo tu Ongezea na wewe
  16. Ni wakina nani hawa na wanamadhumuni gani au ni mwanzo mpya wa maarifa umetufikia?

    Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo. Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
  17. Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

    Mimi napenda Sana maandazi ya Moto, Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe. Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya...
  18. T

    Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  19. Nitumie njia Gani kati ya hizi

    Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
  20. Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

    Wakuu heshima zenu, Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam. Gari luxury kweli Gari linalofika kwa wakati Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo) Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…