gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  2. W

    JamiiForums Tanzania Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

    '
  3. JamiiForums Tanzania Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu Hana rekodi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa kwenye biblia ukiosoma unaona unamfaa Dk Bashiru Ally Kakurwa

    Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
  5. JamiiForums Tanzania CM trading ni kitu gani

    Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300. Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  7. JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  8. JamiiForums Tanzania Boni Yai yupo na hali gani ?

    Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
  9. JamiiForums Tanzania Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  10. JamiiForums Tanzania Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  11. JamiiForums Tanzania Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni hofu ipi kuu inayokusumbua? Hata uwe jasiri kiasi gani lazima kuna vitu vinavyokutia hofu na unatumia njia gani kuishinda?

    Tunazaliwa katika ulimwengu usiokuwa na hofu lakini ulimwengu wenyewe hututia hofu. Tunakutana na vitu mbalimbali vinavyotutia hofu katika ulimwengu huu. Japo tunakuwa na ujasiri fulani lazima kuwe na vitu vya kuogopa. Inawezekana ulivyokuwa mdogo ulikua huogopi baadhi ya vitu lakini kadri...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  14. JamiiForums Tanzania Haya ni gemstones aina gani na je yanathamani?

    Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
  15. JamiiForums Tanzania Wasifu na Historia ya Mzee Stephen Wasira

    Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni Shule ya Msingi Nyambitilwa 1960–1961 na kisha akamalizia Shule ya Msingi Kisangwa mwaka 1962 -...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha katika ulimwengu wa kiroho ina maana gani?

  17. JamiiForums Tanzania Hivi utumishi wanatumia utaratibu gani kwenye oral interview

    Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview? Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya kwa usahili wa kuandika walikuwa kama 128 hivi baada ya mchujo wa kuandika wakabaki wasahili wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  19. JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  20. JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…