gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisomee mtambo gani nini kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE?

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nisome mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE wakuu?.

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa Gani alikuwa na Kingereza kizuri Kama B. Mkapa

    Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ina mkakati gani na hawa wanauza mihadarati ya kiimani kwa jina la Yesu au ukristo?

    Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
  6. JamiiForums Tanzania Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa/umekutana na changamoto gani ya utapeli na ukatapeliwa kirahisi?

    Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho kinakufanya usiende nyumbani kwenu japo unapamiss sana

    Kwangu mimi ni ugumu wa maisha
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  10. JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  11. JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kukutana na changamoto gani katika kutafuta ajira

    Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa. Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

    Waliokuwa naye hapa Ndanda tunaomba taarifa. Hiki kibali ni kizito sana
  13. JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uamini Uchawi upo?

    Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
  14. JamiiForums Tanzania Jina gani la uwanja wa soka linakuvutia sana?

    Mimi navutiwa na uwanja wa Atletico Madrid. Jina la uwanja wao ni Wanda Metropolitano. Tuambiwe inavutiwa na jina gani la uwanja?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwahamasisha Wanawake kushiriki katika sekta ya Sayansi?

    Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM) Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini tunafundishwa namba za Kirumi shuleni? Je Zina faida gani maishani?

    Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
  17. JamiiForums Tanzania Vigezo Gani vilitumika kuajili mwandishi wa aina hii?

    Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
  18. JamiiForums Tanzania Umri gani siyo poa kumzalisha mshangazi au jimama?

    Mishangazi na mijimama ina raha yake. Je, kuna umri siyo poa kupeana ujauzito? Kuna huyu kijana mcheza basketball ana miaka 22 ana uhusiano na amemzalisha mshangazi wa miaka 40. Vipi ingekutokea wewe, ungeelewekaje huko kwenu?
  19. X

    JamiiForums Tanzania Kwenu JF wajuaji, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na haya meneno "CHUDAI" na "WATAA" yana maana gani?

    CHUDAI na WATAA ni maneno yanashika kasi sana kwenye pages mbalimbali za social media Nimekutana nayo sana huko mjini X nimeyaona tena usiku huu Hebu tusioyajua tueleweshwe tuache kupretend tunajua Yana maana gani hayo maneno?
  20. JamiiForums Tanzania Hivi tukisema Tanzania tujitenge kikanda,unahisi ni kanda gani watapeta na ni kanda gani watakufa njaa?

    Me nahisi zitakazopeta ni hizi. 1.Lake zone 2.Southern Highlands 3.Nothern Highlands 4.Coast Zitakazokufa njaa 1.Central zone 2.Southern zone 3.West zone 4.Zanzibar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…