gambo

  1. W

    PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  2. W

    PreGE2025 Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo

    Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025. Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
  3. chiembe

    Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  4. Just Pray

    Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  5. W

    PreGE2025 Viongozi wa bodaboda Arusha wasema wana mashaka na Gambo sakata la Milioni 400

    Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda. Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
  6. M

    Upuuzi wa Makonda na Gambo ni matokeo ya kukosa viongozi wanaochukua hatua

    Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
  7. Kabende Msakila

    PreGE2025 Mrisho Gambo tulia, Makonda siyo saizi yako kisiasa - nenda kwenye profile yake utajua hujui

    Kawahi kuwa DC Kawahi kuwa RC Kawahi kuwa Mwenezi Taifa Kawahi kuwa RC. Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe. Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule" Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi...
  8. GENTAMYCINE

    Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  9. M

    PreGE2025 Mrisho Gambo hauhitajiki tena Arusha, Mwachie Paul Makonda

    Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses exceptional administrative ability and an innovative mindset, always bringing tangible development...
  10. M

    PreGE2025 Kwa hii collabo ya Meya Max na RC Makonda, Gambo hachomoki

    Kimsingi hapa duniani huwezi fanya uovu halafu usilipie gharama za huo uovu wakati ukiwa hai. Moto anaopitia Gambo kwa sasa ni gharama za uovu alioufanya wakati akiwa RC. Kwa msiojua ni kuwa kuna mambo mengi mabaya hayakufika kwenye media yaliyofanywa na Gambo, Sabaya na Makonda enzi wakiwa...
  11. Kabende Msakila

    Arusha Mjini - Siyo Gambo wala Makonda - CCM iwatose wote.

    Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana; * Kwa msingi...
  12. S

    Mrisho Mashaka Gambo atachaguliwa na wanachama wa CCM kwenye kura za maoni na sio madiwani wapiga dili

    Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake. Eti amemuomba...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Mrisho Gambo: CCM tumekaa tumesema sisi 2025 mgombea wetu ni Dkt. Samia, wewe yasiyokuhusu unapiga porojo unapoteza muda

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho. Soma, Pia: Wajumbe...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mrisho Gambo: CHADEMA Wakisusa, sisi twala

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa kushinda hata pale upinzani unapogomea uchaguzi. Akizungumza Februari 4, 2025, katika maadhimisho...
  15. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  16. funaku

    Watu ninaowajua ambao Gambo aliwavunjia heshima

    Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa. 1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa).. 2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye...
  17. Mikopo Consultant

    Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  18. The Supreme Conqueror

    PreGE2025 Sakata la Makonda na Gambo Zitto amchana Gambo kuhudhuria vikao asifikiri kuna kupita bila kupingwa kama 2020

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo utetezi wa Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo wa kutohudhuria vikao hivyo hauna mashiko. Kupitia...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

    Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. "Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
  20. B

    PreGE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
Back
Top Bottom