Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Heshima sana wanajamvi.
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho...
Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic.
Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana.
Nimeona huko global TV wakionesha daraja la milioni 21 na wakisema ni awamu ya kwanza.
Sasa ijajulikana...
ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO
JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
Nami pia namjibu Mke wa Gambo kuwa hakuna Eneo ambalo lina Wanawake MABOYA kama la Kaskazini mwa Tanzania ambako anatoka Yeye Mke wa Gambo. Kwanza nilikuwa simjui Mkewe Gambo, ila nilivyomuona tu AKIMNADI Mumewe kwa Nguvu zote Jukwaani nimegundua ya kuwa kumbe hata tu Dada wangu wa Kazi amemzidi...
Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya.
“Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere
Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi...
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA...
Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha.
1-Kosa la kwanza
yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii.
2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE!
Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua.
Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake...
Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo.
Kwa...
Wakuu
Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu wanahofia kukujibu kwa sababu tuu boss anakukubali
Ila siku ikitokea boss akaanza kukukataa hata...
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha...
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.
Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.