futari

Futari Ecchi (Japanese: ふたりエッチ, Hepburn: Futari Etchi) is a Japanese manga series written and illustrated by Katsu Aki. It has been serialized in Young Animal since 1997, with the chapters later combined into tankōbon volumes by Hakusensha, of which to date there are seventy-nine. The series follows a newlywed couple in their mid-twenties, both virgins when they married, and chronicles their sexual explorations. The manga combines erotic elements with factual and informative statistics. Its title Futari Ecchi ("two person ecchi") is a play on a slang term for masturbation, hitori ecchi ("single person ecchi"). The series has 29.5 million copies in print and is most famous for being a how-to guide combined with a story.Two spin-off manga have been released, Futari Ecchi for Ladies focusing on the sexuality of women and Futari Ecchi Gaiden: Akira, The Evangelist of Sex focusing on Akira. There are also two sex manuals and an art book. The series was adapted into a three episode live-action television drama that aired on WOWOW in 2000. A four-volume original video animation (OVA) series was produced from 2002 and 2004. In 2011, a twelve-episode live-action web series was streamed on Ustream. Also in 2011, a live-action theatrical film series began. Four films have been released. A second three episode OVA series was released in 2014 by Production Reed.
In 2007, the manga series was licensed in North America by Tokyopop as Manga Sutra, only four volumes were released, comprising eight Japanese volumes. Also in 2007, Media Blasters licensed and released the OVAs on DVD as Step Up Love Story.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  2. Blasio Kachuchu

    Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  3. Mshana Jr

    Jifunze jinsi ya kupika futari ya mihogo nazi picha zinajielezea nawatakia mfungo mwema Eid Mubarak

    Jifunze jinsi ya kupika futari ya Mihogo Nazi. Picha zinajieleza Nawatakia Mfungo Mwema 🙏 Eid Mubarak ♥️🕋
  4. C

    Siku ya Futari kitaifa

    Kila ijumaa katika mwezi wa Ramadhan iwe siku ya Futari Kitaifa. 1. Kila Mkoa wachague Aina ya Futari wanayoipenda. 2. Kabla ya futari zitangulie dua
  5. Erythrocyte

    Wasiofunga wakiendelea kufaidi futari za Michongo, huku Masikini waliofunga wakifuturu Maji ya Madafu

    Hii ni futari iliyoandaliwa na Wasafi, huku wanaofuturishwa hawakuwahi kufunga Ramadhan akiwemo huyo Millard Ayo Lakini cha kushangaza ni kugeuza futari hiyo kuwa bango la matangazo ya biashara! Ukweli ni kwamba hatujawahi kukataza watu kualikana misosi wala hatujawahi kukataza watu...
  6. Blasio Kachuchu

    Benki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

    Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson Kishanda wakifuturu pamoja wakati wa hafla ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan kama sehemu ya kuoneshaa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Abbas Tarimba ashiriki hafla ya kugawa futari kwa Wananchi wa Kata ya Mzimuni waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas Tarimba ameshiriki hafla ya kugawa vitu mbalimbali kwa ajili ya futari kwa Wananchi waliofunga mwezi huu wa Ramadhan na Kwarezima iliyoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. Manfred Lyoto. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Nachingwea Girls wamshukuru Waziri Mkuu kwa fedha ya futari

    Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
  9. Mohamed Said

    Futari ya Pork (Nyama ya Nguruwe) Ambassador Hotel Harare 1993

    https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
  10. W

    PreGE2025 Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM, Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu

    Mbunge wa wananchi Jimbo la Chumbuni CCM Mhe. Ussi Salum Pondeza amegawa sadaka ya futari kwa watu wenye ulemavu zaidi ya 70 wanaoishi katika jimbo lake ili kusaidia katika mahitaji ya chakula katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pondeza kupitia taasisi ya Pondeza Foundation...
  11. LIKUD

    Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  12. Erythrocyte

    Ewe Mwananchi jihadhari na Futari za Kampeni ili kuepuka laana ya Allah

    Bismillah Rahman Raheem. Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili. Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague. Kuweni Makini na Allah Subhannah...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?

    Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani? Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana...
  14. Stephano Mgendanyi

    Komredi Kachebonaho atoa futari kwa Kaya 300 Kyerwa

    Komredi KACHEBONAHO Atoa Futari kwa Kaya 300 Kyerwa Mjumbe wa Baraza kuu la jumuiya ya vijana UVCCM Taifa kutoka mkoa wa Kagera Ndg. Leodigar Kachebonaho ametoa mkono wa Futari kwa kaya Zaidi ya 500 zenye uhitaji wilayani Kyerwa Mkoani Kagera. Mbaraza huyo amefanya tukio hilo Aprili 06, Mwaka...
  15. Erythrocyte

    Futari ni nini? Kwanini watu wengi wanafuturisha Wasiofunga Ramadhan?

    Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
  16. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani: Futari Nyumbani kwa Mayor Kitwana Kondo Oyster Bay na Upanga

    KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu. Wakati huo Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mayor wa Dar-es-Salaam na akiishi Oyster Bay. Mimi na wenzagu...
  17. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  18. meghan markle

    Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

    Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa. Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha...
  19. Rayvanny wa jamiiForums

    Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo

    Yani Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo.
  20. Ojuolegbha

    Mama Mariam Mwinyi akabidhi sadaka ya futari kwa makundi maalum

    Mke wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi leo tarehe 18 Machi, 2024 amekabidhi Sadaka ya futari kwa makundi maalum wakiwemo watoto Yatima, Wazee. Sadaka hiyo imegaiwa na Naibu Waziri wa Maendeleo...
Back
Top Bottom