funzo

"Grift of the Magi" is the ninth episode of the eleventh season of the American animated television sitcom The Simpsons. Being the final episode to air in the 1990s, it originally aired on the Fox network in the United States on December 19, 1999. In the episode, mafia boss Fat Tony successfully extorts a large sum of money from Springfield Elementary School, forcing Principal Skinner to close it down. However, a toy company called Kid First Industries, led by Jim Hope, later buys the school and privatizes it. Classes now start focusing on toys and marketing only, and soon a new toy called Funzo that resembles the children's ideas is released by Kid First Industries in time for the Christmas shopping season. Bart and Lisa decide to destroy all Funzos in Springfield but Gary Coleman, Kid First Industries' security guard, tries to intercept them.
"Grift of the Magi", which satirizes the commercialization of Christmas, was written by Tom Martin and directed by Matthew Nastuk. The episode features several guest appearances; Tim Robbins as Jim Hope, Gary Coleman as himself, Joe Mantegna as Fat Tony, and Clarence Clemons as a narrator that tells the viewers at the end of the episode how the story ends.
Around 7.76 million American homes tuned in to watch the episode during its original airing. It was first released on DVD in 2003 in a collection of five Christmas-related Simpsons episodes, titled Christmas With the Simpsons.
Critics have given "Grift of the Magi" generally mixed reviews, particularly because of its plot. The episode has been praised for some of its gags and Coleman's appearance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa Elevenn/de Gunner.

    1: Kama Jesus walimsurubu kwa kuponya na kufanya miujiza iweje wewe ukubalike? de Gunner amekuwa na kitu special katika jukwaa hili.. Ni mtu aliyependa ukweli, alipenda kuongea point na kuitetea kwa nguvu zote, ila hakujua ya kuwa human nature imeumbwa na ego.. Ego ni enemy wa binadamu. Kitu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  3. JamiiForums Tanzania Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

    Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Maisha yana funzo kwetu

    Maisha yamefukufundisha nini mpaka sasa? Tunaweza kujifunza kutoka kwako
  5. JamiiForums Tanzania Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

    Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi: Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito...
  6. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani

    Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani My Take Unaweka mayai yote kwenye kapu Moja la kuazima unategemea nini? Hata hizi chokochoko za Muungano Kuna siku kitakuja kuwalamba.
  7. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  8. JamiiForums Tanzania Hali anayoipitia Mange kimambi kwasasa iwe funzo damu za watu zinamlilia tuache dhambi dhambi inaua.

    Mange amesababisha vurugu watu wajinga wamepata madhara makubwa, ametukana watu na kuwadhalilisha Leo dhambi inamrudia. tuwaheshimu watu bila kujar ni kiongozi au ni mtu yyte. Hatujaja Dunian kutukana Wala kuwadhalilisha wenzetu. Tusali/swali sana, tupendane, tujue kuwa ALIYEPATA KAPATA...
  9. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  10. Z

    JamiiForums Tanzania KIFO CHA GADDAFI: FUNZO LA USALITI NA UJINGA WA WAAFRICA ⚖️🔥

    Leo 2026, miaka mingi imepita tangu Muammar Gaddafi auawe kama mnyama mbele ya macho ya dunia. Waafrika wengi wanazungumza kwa hisia, lakini ukweli mchungu ni kwamba sisi wenyewe tulifungua milango kwa mabeberu ili waje kumuua ndugu yetu. 🟢 UPANDE WA PILI WA SARAFU: MEMA YA GADDAFI 🇱🇾✨ Hatuna...
  11. JamiiForums Tanzania Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Funzo: Mwana JF aliyeshangilia mauaji ya vitoto Gaza sasa anajuta na kutubu baada ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29

    Moja kwa moja. Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda...
  13. JamiiForums Tanzania Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote. Ameibua mengi tuliyokuwa hatuyajui

    Pongezi kwa Pole Pole na Nape. Jamani sijaamini kama CCM wangekuwa na mchezo mchafu wa mfimo wa uchaguzi. Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote na tumsamehe inawezekana kipindi akiwa kule alikuwa hana nia mbaya ila yeye akawa anafuatilia mambo muhimu na ameshaanza kuporomoa. Kila kipindi cha Pole...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano kwa mbunge yatosha, tuwapumzishe waliokuwepo kupitia funzo alotupa Bishop Gwajima

    Salaam! Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee. Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
  16. JamiiForums Tanzania Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekani, Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za Shaheed

    Naaandika kwa Uchungu na machozi Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekan. Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za shaheed. Na wakaingia mkataba wa urafiki mkubwa usio na Mipaka. Sasa naona kama bwana mkubwa iran katapeliwa hivi. Tena yale maeneo muhimu...
  17. JamiiForums Tanzania Farid Hadi asema "Bila Shaka Sheikh Jabir amedhulumiwa kifo chake ni funzo kwetu tuzingatie sana", atuma ujumbe kwa Rais

    Chanzo: Zanzibar Today Sheikh Jabir Haidar Pia Soma ~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili ~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume umeshajua we ni mnene kwanini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika?

    Mwanaume umeshajua we ni mnene, bonge, kiriba tumbo na upo irregular. Sasa,kwanini una-watia aibu wanaume wenzio kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika mfereji wote mpaka chini? Kwanini unavaa nguo ya kubana isiyofika juu. Kwanini uvae T shirt au Shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane au...
  19. JamiiForums Tanzania Trump kamshtukiza Rais Ramaphosa ndani ya Oval Office

    Hahahaaa. Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko? Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa. Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣. =============== Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
  20. JamiiForums Tanzania Nimegundua kwenye maisha, maumivu yapo kukupa funzo

    Iwe kwenye MAHUSIANO Iwe kwenye Biashara Uwe kwenye elimu Iwe kwenye ajira KAZI nk. Maumivu yapo kukufanya ukomae, Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…