Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...