Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano yakaanza na fujo kidogo kidogo na loeo yamesambaa nchi nzima
majimbo 110 wakati kabla iyalikuwa...