fundi

  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa (fundi) Welder

    Salaam Wakuu, Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines. Mig Welding Machine Tig Welding Machine - Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Fundi/Maintenance Officer Anahitajika Haraka

    Fursa ya Kazi Jengo la makazi la urefu wa ghorofa zaidi ya 10 linatafuta fundi mwenye sifa zifuatazo 1. Awe fundi umeme mwenye ujuzi, ufundi na ujuzi kwenye maswala ya mifumo ya maji safi na maji taka pia inaweza kuwa added advantage muhimu sana 2. Umri 25 hadi 50 3. Awe na uzoefu na magorofa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unataka kujenga? Kwa ushauri na huduma ya ufundi kutana na fundi mahiri wa ujenzi

    Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za: Makazi Biashara Sherehe na Ibada karibuni sana. Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania. Pia natengeneza mfumo mpya wa majitaka ambapo mashimo hayajai milele. Bei ya chini Ni TSH 2.5m. Bei inaongezeka kutokana na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Carlinhos, Kiungo fundi na bora kabisa kutoka Angola atua nchini kujiunga na Yanga

    Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo mshambuliaji, anasemekana atakuwa ni kiungo bora kabisa ambaye amewahi kucheza kwenye ardhi hii ya Tanzania...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kawaida VS Mkandarasi yupi ni bora?

    Jana nilimwona Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akimfokea kiongozi mmoja wa wilaya mmojawapo wa Mkoa wa Shinyanga akimuuliza kuwa ni yupi aliyeamuru Mkandarasi kujenga jengo husika badala ya Local Fundi. Binafsi nilisikitika sana na kujiuliza kati ya Local Fundi na Mkandarasi yupi ni bora. Katika...
  7. JamiiForums Tanzania Fundi wa Refrigirated Truck

    Wakuu kwema? Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake. Ahsanteni.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa kupiga plasta nyumba ya gorofa

    Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Mteja alipokuwa akimpa Maelekezo haya Fundi wake wa Mlango alikuwa akimaanisha nini labda?

    Naukuu..." Fundi tafadhali sana nataka Mlango wangu unaonitengenezea Urefu usiwe Steve Nyerere na Upana Zamaradi Mketema, "
  11. JamiiForums Tanzania Fundi Computer za Windows na Mac

    Tunatengeneza Computer za aina zote na kurudishia katika ubora Wake,, Pia tunazo Software / Program Za Computer Tupo DAR ES SALAAM WASILIANA NASI 0628 880 380
  12. L

    JamiiForums Tanzania Fundi wa I.T

    Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:- 1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless) 2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za bulb ambazo hazijulikani hvo husaidia kuonesha yanayoendelea nyumbani kipindi wazazi hawapo ili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa fundi wa Inverter

    Anatakiwa fundi wa Inverter anaye weza kurekebisha Inverter yenye ukubwa wa 5KVA/48VDC. Aliyepo hapa Dar es Salaam awasiliane nami inbox.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Chupi au Soksi zikitatuka ( zikiraruka ) watu hawapendi kuzipeleka kwa Fundi kushonwa kama zilivyo kwa Nguo nyingine?

    Hilli jambo huwa linanitatiza sana hivyo huenda leo nikapata majibu mujarab kabisa kutoka kwenu ndugu zangu.
  15. JamiiForums Tanzania Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

    Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
  16. JamiiForums Tanzania Fundi Majiko ya Gasi Tanzania

    Ni fundi bingwa Majiko ya Gass Kwa tatizo lolote tupigie +255715673024 huduma ni popote ulipo Kwa Dar es salaam na Dodoma fundi atakufata hadi lilipo jiko lako whatsap online muda wote uliza swali utajibiwa. Pia natoa ushauri Kwa mtungi wako wa gass kuweka juu ya ubao na si chini kama...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaohitaji huduma ya kurekebishiwa Majiko ya gesi zote tuwasiliane

    Kwa huduma ya kutengenezewa au kurekebishiwa Jiko la gesi fundi nipo tuwasiliane kwa wakazi wa dar na kigamboni nakuja ulipo nipigie 0715500730.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Fundi nguo anahitajika

    Fundi nguo anahitajika Awe na miaka 24 - 38 Awe na uzoefu usiopungua miaka 3 Awe anajua kushona nguo za kike vizuri Awe Mchapakazi, Muaminifu na Mtafutaji Ofisi ipo Dar Kinondoni Studio wasiliana na namba 0737 610 682. Similar threads Natafuta fundi wa kushona nguo Fundi nguo...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Habarini na poleni na majukumu, Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine). Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Fundi nyumba anahitajika

    fundi nyumba anahitajika kwa kazi.kazi iko maeneo ya Temeke mpigie boss 0717371685
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…