Unajua fika nimefunga naye pingu,, vipi uitamani mvua tena bila wingu//
Maskani ukiunga ukiunga nakusapoti sana,, na sikikakati kiganja coz wee ni mwana//
Nyanyuka kwanza uvae boksa,, siwezi kukudhuru japo mii ni baunsa//
Umeipigia katerelo umemwagia ndani,, bila wewe nisingejua ndani nafuga...