Fumanizi: Mwanajeshi JWTZ anyofolewa pua kwa kutembea na mke wa askari mwenzie

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,445
7,813
Mwanajeshi wa JWTZ kutoka shule ya Uongozi TMA Monduli, Muhidin Kimaro amenyofolewa pua baada ya kufumaniwa na mke wa askari mwenzake nyumbani kwake ambapo anaishi na wanawe watatu baada ya kutengana na mke wake kwa muda, Neema Kimaro.

Kimaro anadaiwa kuwa na tabia kujihusisha na uhusiano na mke wa mtumishi mwenzake pale mumewe anapokuwa kazini usiku.

Jamaa wamepeana adhabu kama wako vitani Congo, mambo ya kujiua kama Mwanza akaona hapana 🤣🤣 Sijui mwenzie atanusaje maadui sasa.

JWTZ.jpg
 
Mwanajeshi wa JWTZ kutoka shule ya Uongozi TMA Monduli, Muhidin Kimaro amenyofolewa pua baada ya kufumaniwa na mke wa askari mwenzake nyumbani kwake ambapo anaishi na wanawe watatu baada ya kutengana na mke wake, Neema Kimaro.

Kimaro anadaiwa kuwa na tabia kujihusisha na uhusiano na mke wa mtumishi mwenzake pale mumewe. anapokuwa kazini usiku.
Chanzo cha habari?
 
Hilo pua amenyofolewaje kwanza tuanzie hapo kakatwa au amelivuta....?????

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mwanajeshi wa JWTZ kutoka shule ya Uongozi TMA Monduli, Muhidin Kimaro amenyofolewa pua baada ya kufumaniwa na mke wa askari mwenzake nyumbani kwake ambapo anaishi na wanawe watatu baada ya kutengana na mke wake, Neema Kimaro.

Kimaro anadaiwa kuwa na tabia kujihusisha na uhusiano na mke wa mtumishi mwenzake pale mumewe anapokuwa kazini usiku.

Jamaa wamepeana adhabu kama wako vitani Congo, sijui mwenzie atanusaje maadui sasa
Chanzo cha hii habari tafadhali.

Ila leo tuliooa ni nderemo na vigele gele tele kwa wale wahuni tunaoishi nao mitaani wanaojisifiaga ni miamba ya kula mali za Watu, hatimaye 40 zimemfikia mmojawao
 
Mwanamke risasi 7.

Huyo ngedere mwingine apigwe mabomu matano ya kurusha kwa mkono.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Inawezekana aliambiwa achague kimoja wapo kati ya vingi, ikiwapo kukatwa pua.

Maana purukushani mpaka kukatwa pua sijui inakuwaje
 
Sio adhabu mbaya kwa mwanaume mwenzake....na shetani anayemfuga, amemuadhibu? Aje?

Bado tunajadiliana, tukifikia muafaka, ndoa zitakuwa za mtindo huu; anaolewa, anaendelea kukaa kwa wazazi wake!
Sasa huo utakuwa upuuzi aisee
 
Sasa huo utakuwa upuuzi aisee
Kwani unataka ukae nae ili kikukute kitu gani kaka? Unataka wa kukufulia? Kukupikia? Kukulindia nyumba?

Siku hizi hivyo vyote kakabidhiwa beki 3, hata tendo lenyewe la ndoa itategemea na mood aliyotoka nayo kwa boss!

Wasomi nyie, mwanaume yupo kikazi Mwanza, mwanamke yupo kikazi Mbeya, watoto wako Dar likizo, shule wanasoma boarding Arusha.

Sasa kuna tofauti gani na wakikaa makwao tuu? Au upuuzi utakuwa upi hapo?
 
Back
Top Bottom