freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya nakuhurumia, hukumjua Mbowe ni nani?

    SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI? Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya kweli kumbe Target yako ni kutafuta wafuasi watakaokuunga mkono ili kumdhalilisha Mbowe. Kitu ambacho...
  2. JamiiForums Tanzania Unapomzushia mtu uongo, kumbuka na hili

    Vitabu vitakatifu, vinasema...kamwe huwezi mfanyia mwenzio fitina na isikurudie. Kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani. Kama sio kwako ni kwa watoto wako. Enyi vijana mnaompigania Mbowe; vijana masikini mliopata elimu ya mkopo wa HESLB, Msio na Ajira rasmi na nzuri, mlioamua kutafuta ugali...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

    SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai? Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Jana siku ya Jumatatu May 10, 2021, wakati ninapitia makala kadhaa katika...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Rais Samia kuwaamini Wapinzani Freeman Mbowe ana mchango mkubwa, apongezwe

    Wote tunajua serikali ya Rais Samia ina waziri mmoja na manaibu waziri watano waliopitia kwenye mikono ya Mbowe kimalezi pale Chadema. Tunaye waziri Kitila Mkumbo na tunao manaibu waziri Mwita Waitara David Silinde, Gekui, Dr Mollel na Patrobas Katambi wote wakiwa wamelelewa na Mbowe. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

    Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
  6. JamiiForums Tanzania Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

    =======
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

    Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA. Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua. Lakini niseme wazi ninamkubali Sana Mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA mwaka 2025 nendeni na Freeman Mbowe nafasi ya Urais

    Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo hasa baada ya kifo cha Hayati Joseph Pombe Magufuli. Mbowe ameonyesha kukomaa kifikra hasa katika...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

    Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Tokea tetesi za kuugua hadi kufariki kwa Mzee wetu Magufuli, baadhi ya Viongozi wa CHADEMA wamekua wakitoa matamko mengi sana, wengine wakaanza kuandika katika mitandao hisia zao juu ya msiba huo lakini wengi sana walikuwa wakidhihirisha chuki zao za waziwazi juu ya Mh. Magufuli. Maandiko yao...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  18. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  19. JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

    Yetu macho ==== Alichokiandika Mbowe Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia wanakufa. Woga & ukimya ni ujinga. Madaktari na wauguzi mna kiapo. Semeni ukweli. Kataeni uharamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…