freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Huyu bhana pamoja na kuzaliwa kipindi cha uhuru lakini dalili zinaonesha anaenda kukuza uhuru wa kufurahia demokrasia hapa nchini. Ninatamani sana kesi yake ingurume ili tuone matendo ya kigaidi aliyoyafanya ili nilinganishe na ya Ole Sabaya na ya Mnyeti halafu ikiwezekana afungwe kabisa si...
  2. JamiiForums Tanzania Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

    Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
  3. JamiiForums Tanzania Kwani Mbowe hawezi kuwa Gaidi? Sura ya gaidi inafananaje?

    Kumekuwa na nguvu kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kuhusu kukumatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za ugaidi nchini Tanzania. Vyombo vya habari vya nje mfano BBC, Aljazeera, VOA na vingine vingi na magazeti mbalimbali ya mtandaoni yamekuwa mstari wa mbele kulaumu kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  5. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hautazimwa kwa kumfunga Freeman Mbowe

    Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena kutokana na matakwa ya viongozi wa Tanzania, ambao wanamuogopa kutokana na hoja zake nzito za...
  6. JamiiForums Tanzania Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

  7. JamiiForums Tanzania Fikra mbadala hazipigwi nyundo

    Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE. Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji dhidi ya viongozi na wanachama wa upinzani hususani CHADEMA leo Tanzania [emoji1241] mahabusu wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Askari mmoja akifa wengine wanasonga mbele; tuendelee kudai Katiba Mpya

    Wakuu za asubuhi? Nawatafuta makamanda wezangu tuendeleze vita ya kudai Katiba. Askari mmoja akifa au akipigwa risasi haturudi nyuma. Tunakwama wapi Makamanda? Mbona mkwara tulikuwa nao mkubwa sana kwenye media? Wapi Mdude, tusonge mbele!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
  10. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  12. R

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Rais Samia? Baada ya matukio haya, ni vema aongee na Taifa

    Ukweli ni kwamba, yanayoendelea kwenye hii nchi yanaumza. Lakini kabla hatujatupa lawama kwa Amiri Jeshi mkuu lazima tujue kwanza alipo na tujue nini msimamo wake kwenye mambo yanayowafanya wananchi wake wanong'one chinichini kama makinda yasiyo na watoto. Tangu tumepandishiwa miamala...
  13. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mzalendo: kuhusu ulazimishaji chanjo ya Corona, Chadema yapondwa kila kona

    Kauli ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ya kuitaka Serikali kulazimisha watu kupata chanjo ya corona imepingwa na kuzomewa kila kona na watanzania kwa sababu ina kila aina ya udikteta ndani yake kwa sababu mbowe amezoea udikteta ndani ya chama chake. Watanzania wengi wameendelea kuungana...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

    Ukiacha kelele zinazopigwa kwa nguvu Sana hapa nchini Tanzania za kutakiwa, Freeman Mbowe aachiwe huru, kutokana na makosa yanayoonekana wazi kuwa Jeshi la Polisi nchini limeamua "kubambika" ya ugaidi, lakini vyombo mbalimbali vya dunia navyo vimeungana na wapigania haki wa hapa nchini, kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kumshikilia Mbowe ni ili kuwatisha Lema na Lissu wasirudi Tanzania

    Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania. Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kundi linalomtetea Mbowe lidhibitiwe na serikali

    Kuna kundi ovu la watu limejitokeza likijifanya linamtetea sana Freeman Mbowe. Mbowe ni raia kama walivyo raia wengine kukamatwa kwake ni jambo la kawaida. Kwani kwa siku wanakamatwa raia wangapi kwa tuhuma mbalimbali? Mbowe anatuhumiwa kufanya vitendo vya kigaidi, wewe unashinda na kukesha au...
  18. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

    Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
  19. JamiiForums Tanzania Je, kushikwa kwa Mbowe Mwanza IGP alimpa amri RPC? Je, IGP alipewa amri na Rais?

    Habari! Suala la Mbowe kukamatwa limezua maswali yasiyo na majibu. Watu wengine wanasema Rais hahusiki kwa namna yoyote hivyo kaviacha vyombo vya dola huru vifanye kazi yake pasi kuviingilia. Wengine wanasema Rais kahusika kwa 100%. Je, Rais kahusika? RPC hawezi kufanya arresting direct...
  20. JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…