freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: Kuna tofauti kubwa kati ya kulinda chama na kumlinda mtu

    Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu. Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia virago. -- “Kuna tofouti kubwa kati ya kukilinda chama na kumlinda mtu, Kukipinga chama na kumpinga...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muda wa CHADEMA kutengeneza safu mpya

    Ukikaa Madarakani muda mrefu watu wanakuchoka pia unakosa ubunifu mfano Museveni, The late Mugabe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kung'ang'ania uenyekiti kutasababisha makada wengi wa chama kuondoka

    Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu Lissu alikuwa busy na mambo yake ya sheria akiwa na miaka 36. Halima Mdee alikuwa na miaka 26...
  4. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

    Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima. Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kukemewa na kila mpenda demokrasia, anaibomoa CHADEMA

    Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake. Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini. 1...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA ufanyike baada ya Oktoba 2025

    Salaam, Shalom!! Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa, auweke hapa. Nimesema hayo Ili Ushauri wangu uwe ushauri binafsi, usio na mashinikizo ya kichama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya Uenyekiti

    Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni. Kumchangia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar kudai Mbowe na kikundi chake wanataka kuvunja muungano si jambo zuri

    Ni Kauli nzito sana Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie Muungano ni Tunu ya Taifa Mlale unono!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

    Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid el Fitri

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani . Hii hapa ndio Taarifa yake
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuma Salamu za Pasaka kwa Watanzania wote , awaomba kusherehekea kwa amani

    Ujumbe wake alioutuma kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii huu hapa
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

    Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

    Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe . Hali ndio kama mnavyoiona
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4 Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuhutubia IDU Forum Mwezi April 2024

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa Hili hapa ndio Tangazo la IDU ---- The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake. Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
Back
Top Bottom