fred

Fred Figglehorn (stylized on webpages as FЯED) is the central character in an Internet video series created by Lucas Cruikshank in 2006. Cruikshank, a teenager, created the Fred video series for his channel on the video-sharing website YouTube, to center on the Fred character. Although Cruikshank voiced Fred, the audio was digitally altered to sound higher-pitched than Cruikshank's true voice.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Fred Lowassa: Kazi iliyo mbele ni kuiombea CCM kura

    Aliyekuwa Mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Fred Lowassa, amesema kazi kubwa iliyo mbele kwa sasa ni kuhakikisha chama hicho kinapata kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Lowassa ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Septemba 12, 2025, wakati akishiriki kampeni za CCM, akiahidi...
  2. Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  3. Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

    Heshima sana wanajamvi. Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni. Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu. Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na...
  4. Wazo: Fred na Emmanuel Ole Shangai jamii ya Maa itawapigia kura pasipo kujali chama.

    Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro. Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa...
  5. Iba SIRI Hizi 7 Za MAFANIKIO Kutoka Kwa Billionaire Mkinga Fred Vunjabei...(Ambazo Zitaenda Kubadisha Maisha Yako 10X) .

    23,April, 2021... . ....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM... Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio ILA... Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi . ...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed . Well...nisikuchoshe Ingia Mgodini Hapa Chini... . 1). Huwezi Kuwakamata Samaki Wakubwa (Papa)...
  6. Fred Felix Minziro ana mikosi?

    Akipandisha timu daraja huwa anafukuzwa, Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja. Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
  7. TANZIA Msanii Fred Kiluswa afariki Dunia

    Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere. Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi...
  8. Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  9. Fred Felix Minziroo yumo ndani ya Mwadui fc

    Kamansa hajawahi kata tamaaaaaa Shikamooo kaka Fred wenzio kibaoo wameshachoka hoii wee pambanaa ndugu Karibu sana Mwadui fc
  10. Azam Media yatakiwa kulipa Million 100 Kwa Chief Fred Uisso

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
  11. Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  12. Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  13. Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

    Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu...
  14. Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno. Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
  15. Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa alichokuwa nacho mzee wake ni 'Loyalty' akiita kama 'kufa na mtu wako' kwani katika historia yake ya...
  16. Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
  17. B

    Inasemekana Fred Vunjabei na Poshqueen sasa ni wapenzi

    Ni umbea nliopata insta, kama ni kweli basi vunjabei anajua kutumia hela yake vizuri, huu Uzi bila comment ya cocastic hautanoga
  18. FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

    "Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu. Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu...
  19. Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
  20. Yanga SC bwana yaani Beki huyu Mbovu Gift Fred wa Uganda ni wa Kumsajili kwa Tsh Milioni 115 Kweli?

    Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili. Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…