Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy.
Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana.
Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163
ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
Kwa wale ambao ni wageni forex na wanatamani kuingiza ela,, ni vema ukaanz ana pair KSH/TSH kwa lugha nyepesi unawezaa kuplay part kama wale jamaa wa border na ukatengeneza pesa nzuri, miaka 8 nyuma nlianzaga kutrade ksh/tsh mpakani lakini ata nliondoka bado nliendelea kutrade mjini, issue iko...
Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa
Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu.
Maana inaweza kuwa betting
Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni.
Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi?
>Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2
Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu soko la Forex lakini wachache sana wanaelewa kuwa Forex si soko moja tu, bali ni mtandao mkubwa wa masoko yanayoendeshwa katika sehemu mbalimbali duniani. Hebu fikiria — kila kona ya dunia, kuanzia Sydney hadi New York, watu wanabadilishana fedha saa 24 bila...
Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa.
Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu...
Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa.
Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders
https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN
Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi.
Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems
Introduction:
After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and fall. Moving averages, in their myriad forms, remain a cornerstone of technical analysis. However...
Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own!
📲 +255 657 685 268
🔥 Powerful Features Included:
✔ Instant Payments & Downloads –...
app
bitcoin
digital
digital files
ebooks
file
forex
mobile money
moja
mpesa
online
online business
online money
pdf
sell online
side business
side hustle
uza
website
wengi
Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.