Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman ,
Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze
Kukudinyeni...