Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu...
Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao.
Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba.
Yote haya mtayapata kesho
Chama Cha Mapinduzi(CCM)Kimekanusha taarifa zinazoesambaaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna baadhi ya watia nia wa Udiwani na Ubunge majina Yao yamekatwa huku wengine wakifanikiwa Kupita katika mchakato wa uteuzi
Akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma Katibu wa...
Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa.
Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA!
Mods...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010.
Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
Wito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo.
Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10 (kwa ajili ya usalama wa washiriki).
Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote.
https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8...
Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwl. Makungu Ms amesema...
https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ
Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo...
Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...