fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge wa Maswa naye achukua fomu ya Naibu Spika

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
  2. J

    Dkt. Tulia hakupaswa kujiuzulu kwenye mchakato wa kichama bali pale atakapochukua fomu kwa Katibu wa Bunge

    Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT. Je, yuko sahihi. Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
  3. Binafsi nadhani Tulia Ackson asingechukua fomu ya kuwania uspika kwa sasa

    Waungwana salamu [emoji1538] Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada. Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi ya kisiasa, kiutawala, uraia na kiutendaji. Wapo waliombeza Mhe. Ndugai wapo walioshitushwa na wapo...
  4. 2025 wabunge mjiandae majimbo yenu yatakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100

    Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200 2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum Ugombea urais kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya...
  5. Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  6. B

    Majina ya wanaCCM waliochukua fomu za Uspika

    15 January 2022 Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar . Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao : Andrew Chenge : mwanasheria...
  7. L

    Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

    Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
  8. T

    Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

    Habari za muda huu, Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni: Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...
  9. Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  10. Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho. WASIFU KUZALIWA - Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
  11. Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  12. Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  13. Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  14. B

    Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  15. J

    Shaka Hamdu Shaka: Kuanzia tarehe 10|01|2022 anayetaka kuwa Spika wa JMT kupitia CCM ruksa kuchukua fomu

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT, Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
  16. Msaada kwa waliowahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF

    Habari zenu, Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
  17. J

    Je, 2025 fomu ya urais kura za maoni CCM itakuwa moja?

    Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030. Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama. Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020. Mungu ni mwema wakati wote!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…