Daah, nimevumilia uzalendo unaelekea kunishinda.
Tangu saa moja jioni niko Tangi Bovu, magari hayaendi, watu wanatanua na magari yao 😠😠
Kidogo wamegongana halafu wanawasha hazards kuanza marumbano namna ya kutengenezeana magari na nani mwenye makosa.😠😠
Wanazidi kuongeza foleni barabarani...