focus

FOCUS is a fourth-generation programming language (4GL) computer programming language and development environment that is used to build database queries. Produced by Information Builders Inc., it was originally developed for data handling and analysis on the IBM mainframe. Subsequently versions for minicomputers and such as the VAX and other platforms were implemented. FOCUS was later extended to personal computers and (in 1997) to the World Wide Web: the WebFOCUS product.

View More On Wikipedia.org
  1. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Happening now: Uganda Launches National Budget Month for FY 2026/27: Focus on ATMS and Enablers to Drive Tenfold Growth Strategy

    Ministry of Finance HeadQuaters Uganda’s Ministry of Finance, Planning and Economic Development (MoFPED) has officially launched the National Budget Month for the Financial Year 2026/27. The event, held at the Ministry’s headquarters, has marked the beginning of a series of activities leading...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  3. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Drop foreign Trips, Focus on Constituencies, Museveni to NRM MPs

    President Museveni has urged newly elected Members of Parliament (MPs) from the ruling National Resistance Movement (NRM) to reduce foreign travel and dedicate more time to grassroots engagement to accelerate rural transformation. Speaking during a campfire session at the National Leadership...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 GEN Z tuacheni na drama za Majizo asitutoe kwenye reli, focus yetu maandamano endelevu

    Yeye si ana vyombo vya habari na ana majukwaa ya kisasa, basi aendelee kupromoti mziki na wanamuziki wake. Hatuna muda wa kujadili mambo yake tena issue yake ikifika jioni tujihidi abaki anajadili yeye na mkewe. Mbona hasemi ndugu zetu waliopoteza uhai anaona kipato cha wanamuziki wake bora sana...
  5. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

    Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D. Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake. Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  7. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Our focus vs our problems

    Pichani utaona watu tuliowatuma bungeni wanachohangaika nacho VS Chini kulia hapo unaona hospital yetu ya taifa ikiwa haina umeme kwa masaa 18 na wabunge wamekazana kuendekeza ushabiki wa kisiasa kwa nchi ambayo hospital yake ya taifa INAWEZA kukosa umeme kwa karibu...
  8. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  10. K

    JamiiForums Tanzania Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

    Vijana tumieni akili Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30 achana na oldest women
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
  13. SinaMdaa

    JamiiForums Tanzania Maoni na Ushauri kuhusu kuzingatia jambo ninalolifanya kwa wakati husika

    Wadau habarini za uchana huu wanajamii. Natumaini mu wazima wa afya. Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika. Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye...
Back
Top Bottom