fifa

  1. JamiiForums Tanzania FIFA wataifungia USA kwa kuivamia Iran kama walivyoifungia Russia kwa kuivamia Ukraine?

    Tutarajie lolote kutoka FIFA? Kwanza kwa nini waliiban Russia na wanadai hawajihusishi na siasa?
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Eyes FIFA World Cup Bid - What does it cost to host the tournament?

    Kampala, Friday,27.February- appearing before Parliament’s Public Accounts Committee while discussing the December 2025 Auditor General’s report, Kedrace Turyagenda, Permanent Secretary at the Ministry of Education and Sports, revealed that Uganda is already thinking ahead. " we are already...
  3. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi ateuliwa na FIFA kufundisha mfumo wa mabadiliko ya klabu Doha, Qatar

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani [FIFA], Limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa vilabu Afrika [ACA], Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa Wataalam watakaofundisha kwenye Kongamano kubwa la Mpira litakalofanyika Doha, Qatar, siku ya kesho, Desemba 14,2025. Eng. Hersi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA anashambuliwa sana mda huu, mashabiki wa timu za Afrika wamepigwa komeo kuingia Marekani

    Mwaka ujao kutakua na kombe la dunia na watu wengi mtandaoni wapo kwenye sintofaham ya kuingia marekan, mpaka sasa raisi hajatoa kauli yoyote lakini hali sio nzuri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  6. JamiiForums Tanzania FIFA kufuta magoli yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa. Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
  7. JamiiForums Tanzania TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

    Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA). Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA yadaiwa kuitaka Yanga kujieleza kwa tuhuma za kuichangia pesa za Uchaguzi CCM

    Kwa mujibu wa chanzo, Shirikisho la soka duniani FIFA limeitaka klabu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara kujieleza juu ya tuhuma za kushiriki Siasa kwa kukichangia pesa za uchaguzi chama cha mapinduzi CCM mwaka huu 2025. Tamko hili la FIFA kwenda kwa Yanga ni matokeo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

    Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo. Binafsi najiuliza, hivi...
  10. JamiiForums Tanzania GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
  11. JamiiForums Tanzania Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwasilisha malalamiko FIFA

    Jinsi ya kuwasilisha malalamiko kwa FIFA --- 📝 Jinsi ya Kuwasilisha Malalamiko kwa FIFA 1. Tambua Aina ya Malalamiko Yako FIFA inashughulikia malalamiko ya aina mbalimbali, kama vile: Rushwa au upangaji wa matokeo Migogoro ya mkataba au uhamisho wa wachezaji Utovu wa nidhamu wa mawakala...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaishitaki YANGA kwa barua kwenda FIFA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni 100 uliotolewa na Yanga kwa chama cha siasa (CCM) katika hafla ya Gala Dinner iliyofanyika Mlimani...
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    15 Agosti 2025 Kamati ya Maadili ya FIFA Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) FIFA-Strasse 20 S.L.P. 8044 Zurich, Uswisi KUMBUKUMBU YA MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KLABU YA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB KWA KUJIHUSISHA NA SIASA ZA VYAMA – TANZANIA Waheshimiwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya FIFA...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Complaint Regarding Breach of FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club

    Dear FIFA Ethics Committee, I am writing to report a potential breach of the FIFA Code of Ethics by Young African Sports Club, the current premium football champion in Tanzania. On Monday, 11 August, at Mlimani City Hall in Dar es Salaam City , the club's president contributed 39,000 to the...
  16. JamiiForums Tanzania TFF iadhibiwe na FIFA endapo haitaiadhibu Yanga kwa kushiriki kampeni za CCM!

    Ni wazi Yanga imekiuka kanuni za FIFA kwa kushiriki kampeni za CCM katika uchaguzi mkuu wa kisiasa kupata viongozi wa serikali. Kwa hiyo ili kuepuka rungu la FIFA na kulinda heshima ya nchi kimichezo lazima TFF ichukue hatua za kuiadhibu Yanga ikiwa na pamoja na kuifungia kushiriki mashindano yo...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga kushitakiwa FIFA na wanaharakati kwa kuvunja Sheria za FIFA zinazikataza vilabu kushiriki siasa za vyama vya siasa

    Hiki ndio kinachoendelea hiko kwenye kurasa za wanaharakati Jamani tuwaandikie FIFA kuhusu ukiukwaji wa kanuni za maadili ya Yanga! Kanuni za FIFA na hata CAF zinakataza kabisa kujihusisha na siasa za vyama! Itume kwa barua pepe ethics@fifa.org Anwani andika: FIFA Ethics Committee...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa FIFA

    Ngurumbizi Dudumizi P.O. Box 1920 Iringa, Tanzania 13 August 2025 Head of Integrity & Compliance Fédération Internationale de Football Association (FIFA) FIFA-Strasse 20 8044 Zürich, Switzerland Subject: Grievance regarding Young Africans SC pledge of TZS 100 million to a political party...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…