fifa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
  2. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

    Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
  3. JamiiForums Tanzania SEPP Blatter asema FIFA walifanya makosa kuipa Qatar kuwa mwenyeji wa World Cup 2022

    Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka. Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA wakati maamuzi hayo yanafanyika Mwaka 2010 anasema yeye aliipigia kura Marekani huku akimlaumu...
  4. JamiiForums Tanzania Clara Luvanga aitwa na FIFA kwa Ajili ya Vipimo

    Kama mnavyojua team ya taifa ya soccer upande wa wanawake ilifuzu kushiriki kombe la dunia linaloendelea sasa huko India ila star wa team Clara Luvanga haonekani. Sasa habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Clara ameitwa na FIFA South Africa kwa ajili ya vipimo vya hormone na umri. Huyu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

    Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini. Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  8. JamiiForums Tanzania FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

    Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
  9. JamiiForums Tanzania FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  10. JamiiForums Tanzania FIFA yatangaza kuifungia India kujihusisha na soka kwa muda usiojulikana

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India...
  11. JamiiForums Tanzania Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Rais wa FIFA

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St. Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Wacongo Yanga Princess wasHtaki FIFA kudai malipo

    inaiskitisha sana, dah kwa hiyo mkatooka congo hadi ......he :D😜
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

    Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu nyingine amaliziwe mwakani sasa kagoma na kutokana na jinsi walivyokuwa wamemkuza wakishirikiana na...
  16. JamiiForums Tanzania Simon Msuva ashinda kesi yake FIFA, kulipwa Bilioni 1.6

    Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye alikua...
  17. JamiiForums Tanzania FIFA yatangaza kuifungia Geita Gold kusajili hadi itakapomlipa Kocha Ndayiragije

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limeifungia Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kutosajili wachezaji mpaka itakapomlipa fidia aliyekuwa kocha wao, Mkuu Ettiene Ndayiragije, mara baada ya kuvunja nae mkataba.
  18. JamiiForums Tanzania FIFA kuruhusu timu kuwa na wachezaji 26 Kombe la Dunia

    Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022. Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo awali kila timu ilitakiwa kuthibitisha majina ya wachezaji 23 kwenye kikosi chake lakini sasa kutokana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia akipokea Kombe la Dunia, Ikulu, Dar es Salaam Mei 31, 2022

    ======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo limepita hapa kwetu kabla ya kwenda Qatar, Pia tunafurahoi kuwaona wageni waliokuja nalo, pia kumuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…