fatma karume

  1. Q

    Fatma Karume aruhusiwa kufanya kazi ya Uwakili Tanzania Bara

    Fatma Karume alisimamishwa kufanya kazi za uwakili kwa upande wa Tanzania bara tangu mwaka 2019 akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG) Dkt Adelarus Kilangi aliyeteuliwa na rais John Pombe Magufuli mnamo February Mosi 2018 kuwa hana vigezo.
  2. Jidu La Mabambasi

    PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

    Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa. Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo. Watanganyika mjitathmini!
  3. M

    PostGE2025 Wazanzibari akiwemo Fatma Karume wapo kimya kwa yaliyotukuta, Je hiki ni kisasi cha mauaji ya ndugu zao ?

    Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio. Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana kupinga matokea ya uchaguzi wa mwaka 2000, kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mazombi Kadhalika...
  4. R

    SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume: Upinzani unahitaji wadau siyo Malalamiko

    Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X-Twitter ameandika kuwa " Vyama vya Upinzani vinapaswa kujenga uhusiano thabiti na wadau wakubwa wa ndani ya nchi ili kupata nguvu na rasilimali za kuendesha harakati zao. Kuishambulia CCM pekee si mkakati wa ushidi angalieni mfano wa Trump...
  5. W

    SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume amemuita Polepole ni msaliti na mnafiki mkubwa

    Wakuu hii ni kweli ?
  6. technically

    Fatma Karume, alikuwa na chuki binafsi na Magufuli

    Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida Ilikuwa ni chuki binafsi Utekaji umeisha? Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa Halafu anatetea watu Kama hawa Huyu ndiye aliwaunga mkono CHADEMA walivyogomea serikali za mitaa mwaka 2019 Je Nini kimebadilika...
  7. O

    GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

    Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli. Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na...
  8. 2070

    GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

    Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI. Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
  9. The Supreme Conqueror

    PreGE2025 Kitendo cha Mama Fatma karume kustaajabu Makonda kuacha URC je ni anguko lingine kwa Makonda kuukosa ubunge Arusha Mjini?

    Wakuu hili nalo mkalitizame kwa jicho la kipembuzi ni hivi juzi mkeka wa Samia wa Ma Rc,Dc Das na Ras kutoka na jina la Makonda kukosekana ilimshangaza sana Mama Wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume. Ni kama alikuwa anaamini katika utendaji wa URC zaidi nafasi aliyodumu ndani ya Daslam kipindi cha...
  10. DuaZaMama

    Mama Fatma Karume ashangazwa Makonda kuondolewa mkuu wa mkoa

    Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abeid Karume, Mama Fatma Karume amesema amepokea kwa mshtuko taarifa ya mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 23, 2025, hususan kuondolewa Paul Makonda kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Akizungumza...
  11. U

    Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  12. Yoda

    Fatma Karume aonya Gwajima kuaminika kama mtetea haki, akumbushia suala la kutaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa!

    Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa! Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Waitara: Yule bwana mdogo ni mbinafsi. Amshutumu Fatma Karume kwa "Utapeli wa Kisiasa" Kesi ya Nyamongo

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kujiunga na CCM, ameibua tuhuma nzito dhidi ya wakili maarufu Fatma Karume, akimtuhumu kwa kushiriki kile alichokiita "utapeli wa kisiasa" unaohusiana na mzozo wa wachimbaji wa Nyamongo. Akizungumza...
  14. Yoda

    Fatma Karume asikitishwa kesi ya urithi wa nyumba kuendeshwa mahakamani kwa miaka 20

    Mwanasheria Fatma Karume ameelezea kwa kirefu kisa kimoja cha utapeli wa nyumbani ya mirathi na kesi iliyofuatia mahakamani iliyodumu kwa muda wa miaka 20! Kwa mfumo huu wa mahakama kuendesha kesi kwa miaka kuna watu wengi sana watakuwa wanateseka kuzipata haki zao, labda ndio maana watu huwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Arusha: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri

    Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea? Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
  16. Waufukweni

    Fatma Karume: Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi wakimshukuru Rais kupeleka pesa kwenye maeneo yao ni kujidhalilisha

    Wakili Fatma Karume ameweka wazi mtazamo wake kuhusu kitendo cha baadhi ya Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi kumshukuru Rais kwa kupeleka fedha katika maeneo yao. Akizungumza katika mahojiano na The Chanzo, Karume alisema kuwa kitendo hicho ni cha kujidhalilisha na hakifai. Pia, Soma: +...
  17. mirindimo

    Fatma Karume akiri familia yake kuchukiwa wazi wazi na Rais Mwinyi

  18. J

    Fatma Karume: Kelele, ubabe na mabavu siyo ushahidi kwamba Dkt. Tulia Ackson ni jasiri

    Alizungumzia jinsi Rais wa IPU Spika Dr Tulia PhD alivyowajibu Wazungu, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema ule siyo Ujasiri Fatma Karume asema alichofanya Spika Dr Tulia ni Sawa na Panya kutamba mbele ya Paka huku akijua Kabisa baadae ataliwa. Ni huko Ukurasani X. Mlale...
  19. R

    law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

    Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt? To make it easy for you DPP: Unaweza...
  20. Q

    Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

    Ibara ya 40(4) ya Kiswahili. Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
Back
Top Bottom