Kama unakipaji cha kutunga nyimbo tuwasiliane kuna Beat ipo inatakiwa kutungiwa nyimbo kali yenye melody nzuri kifupi HIT SONG.
Hakikisha unaujua muziki na unajua muziki unaotakiwa kwa sasa kwenye soko, hakikisha unajua kutunga melody kali.
Nahitaji HIT SONG.
Karibu tufanye...