HATARI TATU ZA KISIRI KWENYE META UNAZOPASWA KUZIZIMA MARA MOJA!
Katika ulimwengu wa kidigitali, kila ‘like’ unayobonyeza, kila kitu unachoangalia, na kila chapisho unachotazama—kinafuatiliwa. Meta (Instagram, Facebook, na bidhaa zake nyingine) hutumia taarifa zako kukut bombard na matangazo...