familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

    NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na...
  2. Kutegemewa kila siku siyo jambo zuri kwenye familia

    Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri. Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli...
  3. Visirani Vinaponza Wake Zetu: Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwasababu Washauri Wakubwa Wa Wake Zetu ni Wanawake Walioachika

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa, au kuiacha? Nikiwa mtaa mmoja hapa jijini Dar es Salaam, ubuyu ukamwagwa. Ubuyu si wa kawaida. Ni...
  4. Ndio maana nikiona Familia zinaendeshwa bila Baba hua naumia sana

    Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara. Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza Familia inayoongozwa na Baba inakua haiteteleki wala kupata misukosuko maana Baba likitokea lolote la...
  5. Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

    Hamjambo Wote! Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako. Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako. Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe. Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe. Watoto...
  6. S

    Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  7. Kuna Member hapa kaja na uzi wenye kuhitaji Akili Kuuelewa akisitika kuwa Mama yake anaendesha Familia yao vibaya, Watu wameshindwa kwenda nje ya Box

    Na ninajua huko aliko anawacheka tu Watu waliokurupuka Kuujibu bila ya kutumia Akili Kubwa kuuelewa na kumuelewa.
  8. Tunaomba namba ya mke wa mdude iwekwe hadharani tuweze kumchangia ambacho tutajaaliwa,kuendelea kumuonea huruma haitasaidia kitu kwa familia yake

    Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya...
  9. W

    Mchuuzi ( Boniface Kariuki) aliyepigwa risasi na polisi katika maandamano Nairobi athibitishwa kufariki

    Boniface Kariuki, mchuuzi aliyepigwa risasi wakati wa maandamano wiki mbili zilizopita jijini Nairobi, amefariki dunia. Msemaji wa familia, Emily Wanjira, amesema Kariuki alithibitishwa kuwa amefariki saa tisa na robo jana alasiri Taarifa za awali kutoka kwa Familia ilisema madaktari...
  10. Nina tabia ambayo inanitesa sana ya kula mboga nyingi

    Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto. Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo. Hali inayonifanya hata...
  11. PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  12. Hivi kwanini familia za kiafrika watu wanakuwa wabinafsi sana hasa likija suala la mirathi

    Familia nyingi za kiafrika watu huwa wabinafsi sana likija suala la kimaslahi. Utu, huruma na undugu huwatoka kabisa na kuendekeza dhulma baina ya wanandugu. Sasa usiombe iwe ni mirathi ndio kabisaa hata iwe mmezaliwa baba mmoja mama mmoja bado kuna ubinafsi wa kuzulumiana wenyewe kwa wenyewe...
  13. Tukubaliane tu kuwa ukiwa na Watu wenye 'Nuksi' iwe katika Familia au Kazini au Michezoni sahau kabisa Kufanikiwa kwa lolote

    Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani. Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
  14. Familia yangu inaniingilia kwenye mambo yangu binafsi

    Hii familia nimeona sasa inataka kunipanda kichwani na kutaka kunipangia kila kitu as If mm ni kijana mdogo wa secondari, kila kitu wanataka niwafatilizie wao bila kujali mm nataka nini Mfano nilianza ujenzi wangu mdogo mdogo wakanitafutia fundi wao ili ajenge hata hvyo fundi haja maliza kaz na...
  15. Kumpata mwanamke wa maisha, wa heshima, wa kujenga na familia ni kazi ngumu sana kwasasa

    Bro, Ni kweli wanawake wapo wengi sana duniani kuliko sisi wanaume Lakini ukifika muda wa kutafuta MKE - ndipo utagundua wanawake ni wachache mno hapa duniani Bro, kumbuka hili: Watoto wako hawahitaji mama mrembo, Wanahitaji mama BORA wa kuwalea, kuwaongoza, na kuwajenga kwa ajili ya kesho...
  16. KULINDA MALI ZA FAMILIA ZIISHI MIAKA 200

    MALI HAZITAUZWA WALA KUKOPEWA BENKI BALI ZITAKODISHWA AMA KUPANGISHWA TU KWA MIAKA 200 WARITHI (WANUFAIKA ) WATALIPWA KODI TU KILA MWEZI/MWAKA KWA MIAKA 200 ⸻ 🏛️ FAMILY TRUST YA KIZAZI HADI KIZAZI (MIAKA 200) Jina la Trust: FAMILY INCOME TRUST Mwanzilishi: - Muda: Miaka 200 Lengo: Kulinda...
  17. Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  18. W

    Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  19. K

    Hakuna familia ya kiongozi au watoto zao ambao ni machawa

    Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii na unapozidi kushabikia na...
  20. A

    Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…