familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  2. Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
  3. Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  4. S

    Familia kwenda bungeni yapo yaliyoficha nyuma ya hulka hiyo inayochukiwa na wengi

    Abedi Pele enzi zake akaichezea timu ya Taifa ya Ghana aliwika vilivyo. Alicheza 9 na 10 naukumbuka wepesi wake na namna alivyowasumbua mabeki. Jina lake la kuzaliwa ni Abedi Ayew lakini mashabiki wakaona wamfananishe na Mfalme Pele mwenyewe. Baada ya kustaafu soka watoto wake wawili wakaamua...
  5. Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
  6. Familia yalaani, mateka Muisrael anayeteseka huko Gaza

    Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda. Taarifa ya familia hiyo iliyoitoa siku ya jana Jumamosi Agosti 2, 2025 imejiri siku moja baada ya Hamas kutoa video ikimuonyesha...
  7. Ifunze familia yako maadili mema utainusuru jamii inayokuzunguuka na Taifa kwa ujumla

    Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
  8. GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  9. Familia zitakazojaa Bungeni

    1. Mwinyi ( wanafamilia 4), 2 . Aweso ( wanafamilia 2), 3. Lucas Mwashambwa
  10. M

    Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

    Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
  11. Aliyesema wazuri huwa hawafi amekiona cha mtemakuni yeye na familia yake

    Yusuphu Makamba aliwahi kusema kuwa wazuri huwa hawafi Leo hii ana nini cha kuwaambia Watanzania?
  12. K

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  13. H

    Kwanini "maprofeti" washindwe kutabiri juu ya mambo ya familia zao waweze kutabiri juu ya mambo ya Tz??

    Tutafakari juu ya hili,plz!!! UJINGA NA WIZI UMEZIDI TZ
  14. G

    Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Miezi kadhaa iliyopita, Tundu Antipas Lissu mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kupitia chama cha...
  15. Hivi kuna Koo au familia ambazo kama Mungu kazipa upendeleo na nyingine kuzinyima

    Sio mzuri wa dini ila kuna maelezo yanaeleza hayo. Unakuta kuna koo au familia yani wao kupata kazi ni kawaida ila wengine hata wafanyeje ni ngumu. Nimeshuudia familia moja yani wao wote kama wanangekewa na wanazikataa yani jamaa anaacha kazi na kutafuta kazi nyingine na alipoacha...
  16. E

    Nyumba yetu ya familia imepigwa X ya kijani?

    Naomba anayefahamu kuhusu maana ya X ya kijani ni Nini? Maana hapo mwanzo mwaka 2006 nyumba yetu ilivunjwa sehemu yote ya mbele lkn safar hii wamekuja kuweka X ya Kijani. Nyumba yetu hipo barabara kuu eneo la riverside.
  17. D

    Kumbukeni huyu polepole ana maisha mazuri tayari. Asituharibie watu wa chiini. Hata familia yake inaishi bahari beach kwa wakubwa

    Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote. Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu. Mfano...
  18. R

    Watoto watatu familia moja wafariki kwa moto

    Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi wao katika Kijiji cha Nambilanje, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
  19. Ijali familia yako

    Aliingia mfanyakazi wa kawaida katika duka dogo la dawa, uso wake umechoka na mikono yake imepasuka kwa sababu ya kazi nyingi. Akamuuliza mfamasia kwa sauti ya utulivu: “Je, mna marhamu ya saruji(ni dawa ya kupaka juu ya ngozi kwa ajili ya kulainisha ngozi iliyokauka au kupasuka)?” Mfamasia...
  20. M

    Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…