Ni usiku wa manane hapa Trump land, lakini Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu.
Leo naomba mmjue huyu Thobias aliyegeuka kuwa kilio kwa familia nyingi.
Tobias Richard Mwesigwa alizaliwa katika kitongoji cha Nyarubanja, Kijiji Cha Rukurungo, kata ya Bugandika, wilaya ya Missenyi, mkoani...