familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Pauline Gekul aifariji familia ya mwananchi aliyechomwa moto nyumba

    Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kuchomwa moto nyumba ya mwananchi wa Mtaa wa Maisaka kati Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mhe Pauline Gekul amejitokeza kuifariji familia ya mwananchi huyo, na kuwasihi wadau wenye mapenzi mema kuendelea kumsaidia muhanga wa tukio hilo. Akizungumza na mwananchi...
  3. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu

    Today's Sunday. Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath Leo ni siku ya kuabudu . Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa. ANGALIZO...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Raha ya familia ni kuishi Nuclear family sio kujaza watu

    Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako. Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake , Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi Kwa ndg...
  6. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

    Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi. Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae , ROHO YA UZINZI Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani, Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani pamoja na familia zetu

    Habari, wapendwa Watanzania! Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga...
  10. hungary

    JamiiForums Tanzania Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

    Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi ELimu yake ni diploma in...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  12. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

    Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious. Ila...
  14. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila...
  15. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wale wenye familia.

    Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke . Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu...
  16. toobiter

    JamiiForums Tanzania It's not them,it's not us:majukumu yanavyoondoka na wives and mothers katika familia zetu

    Ni saa 9:00 alasiri nakaribishwa na mwanamke ndani ya basi la AN COACH. anatabasamu na kunikatia tiketi kwa adabu na heshima na anaonyesha weledi mkubwa kwa kazi yake. Kwa haraka anaonekana kuwa kwenye miaka 26-30.umbo lake linaonyesha ana watoto wawili au Mmoja na amevaa Pete kidoleni ikiwa...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  19. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Mikosi katika familia na utatuzi wake

    Hellow JF. Leo nimeamua kukusogezea hili, Ivi sasa familia nyingi sana zimekuwa zikipitia mazingira magumu sana ya kuhangaika,kuteseka,masimango,mates na Madhira mengi saana. Wengi wanaishia kupambana na changamoto hizo bila mafanikio na wengine wanaishia kufurukuta Kadri wawezavyo lakini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
Back
Top Bottom