familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mume na mke wahukumiwa miaka mitano jela kwa kukeketa watoto yatima watatu wa familia moja

    Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja. Watoto hao walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  3. JamiiForums Tanzania Wasomi na majobless wenzangu tujitahidi walau tuwe na watoto au familia

    Kwenu vijana wenzangu tuliopoteza muda wetu vyuoni na matokeo yake leo tupo mitaani bila ajira rasmi tunapambana na hali zetu..nataka niwakumbushe kitu hivi mnamkumbuka kiongozi mkubwa wa serikali aliesema atahakikisha vijana wote wasio na kazi rasmi mjini wanarudi kulima na matajiri...
  4. JamiiForums Tanzania Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

    A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split...
  5. JamiiForums Tanzania Familia ya Neema aliyedai badilishiwa mtoto yakataa kata kata kupokea mwili wa Marehemu kuzika, Yadai yule si mtoto wao

    Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
  6. JamiiForums Tanzania Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika vitu vingi vinakosa maana isipokua pesa, familia na afya njema

    Kuna umri ukifika, hasa 38+, ndipo unagundua kuwa mambo mengi yanapoteza maana isipokuwa pesa, familia, na afya njema. Aise hata Kama umekuwa ukijituma maishani kuchangamana na watu sijui ndugu jamaa na marafiki au shughuli nyingine – lakini huna uthabiti wa kifedha wala familia ya kueleweka...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Pauline Gekul aifariji familia ya mwananchi aliyechomwa moto nyumba

    Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kuchomwa moto nyumba ya mwananchi wa Mtaa wa Maisaka kati Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Mhe Pauline Gekul amejitokeza kuifariji familia ya mwananchi huyo, na kuwasihi wadau wenye mapenzi mema kuendelea kumsaidia muhanga wa tukio hilo. Akizungumza na mwananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu

    Today's Sunday. Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath Leo ni siku ya kuabudu . Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa. ANGALIZO...
  12. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  13. JamiiForums Tanzania Raha ya familia ni kuishi Nuclear family sio kujaza watu

    Raha ya Familia ni kuishi Nuclear Family , sio kujaza ndg nyumbani kwako. Napenda lifestyle za wazungu wenzatu wanaishi vizuri sana hukuti mzungu anaishi na toto la mjomba sijui la Baba mdogo ni yeye na familia yake , Waswahili utakuta ndg wote wasiojiweza wanakimbilia kuishi Kwa ndg...
  14. JamiiForums Tanzania Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

    Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi. Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae , ROHO YA UZINZI Mtoto WA darasa la tatu tayari anaanza kujua mpenzi Ni nani, Mbona kama njia ya kurahisisha maisha ni Kuwa na mpenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani pamoja na familia zetu

    Habari, wapendwa Watanzania! Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

    Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi ELimu yake ni diploma in...
  19. JamiiForums Tanzania Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…