Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi,
#Tutiririshe intelegensia mbali...