faini

  1. JamiiForums Tanzania Wachina 32 walipa faini mil. 591/- kukwepa jela

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita imewahukumu raia wa kigeni kutoka China 32 akiwamo Mkurugenzi wa Mgodi wa Eagle Brand Limited kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya Sh. milioni 591.22 kwa makosa manne. Hata hivyo, washtakiwa hao walilipa faini na kuachiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

    Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu. Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…