Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23?
Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata tiketi hiyo baada ya kutwaa ubingwa mwaka 1973 walijikuta wakiwa na deni kubwa kwa vile watani zao Yanga...
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo.
Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.
Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022
Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu...
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia nyumbani.
Its been a long time Simba kufika nusu fainali, kuna kizazi hakijawahi shuhudia kabisa1974...
CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022.
Matokeo hayo ya michuano hiyo...
Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali
Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi
Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.