fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UEFA: Real Madrid, Villarreal zaingia nusu fainali, Chelsea, Bayern hoi

    Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022 Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Robo fainali ya drafti Iliofanyika juzi kati ya Cisco, dogo athumani na Yasini nani aliibuka bingwa?

    Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Sioni Pengo la Onyango na Kanute robo fainali ya shirikisho

    Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni. Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

    Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hela wanazopata Timu Zilizofuzu robo fainali Kombe za Shirikisho

  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba robo fainali tupangwe na Al- Ahly Tripol ya Libya

    Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia nyumbani. Its been a long time Simba kufika nusu fainali, kuna kizazi hakijawahi shuhudia kabisa1974...
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022. Matokeo hayo ya michuano hiyo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Leo media zinaanza kuivuruga Simba isifuzu robo fainali

    Narudia tenaa utakuwa nii jinga la mwisho kuamini kwamba media za makanjanja zinataka simba sc ifuzu robo fainali Bahasha za khaki zishatembea kilichobaki ni Leo shughuli inaanza rasmi Maana kila simba akiwa na week ya mechi ngumu utasikia nawapeleka mahakamani walinifanyisha kazi bila...
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Namna za 4 Simba kufuzu robo fainali

    HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA AIKITOA SARE BERKANE AKIFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 8 USGN 6 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKITOA...
  14. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Droo ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 kuchezeshwa MARCH 18, 2022 Switzerland

    Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja. Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya klabu barani ulaya huko Jijini Nyon, Uswizi (Switzerland) ''It is at this stage that...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

    Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania CAF wanaipendelea Simba SC; Barbara aalikwa fainali za AFCON

    Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa mechi za awali Sasa basiii...Caf has done it again wamemualika adui wa matapeli ya soka la bongo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania AFCON Nusu fainali - Misri vs Cameroon: Je, wachezaji wa Misri nao watapewa corona?

    Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco. Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda: Mukoko Tonombe kauzwa kwasababu ya red card ya Fainali ya F.A

    Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba. Katika mchezo huo, Mukoko Tonombe alimpiga kiwiko John Bocco na kupewa...
Back
Top Bottom