faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida za Komamanga

    🌱 FAHAMU KUHUSU KOMAMANGA 🌱 Tunda la komamanga (kwa Kiingereza pomegranate, jina la kisayansi huitwa: Punica granatum) ni tunda lenye nguvu kubwa ya kiafya na hutumika sana katika tiba za asili. 🌿 Maradhi Ambayo Komamanga Hutibu 🌿 👉1. Tezi dume (Prostate health): - Juisi ya komamanga...
  2. JamiiForums Tanzania Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

    Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 na faida ya uhakika Tsh. 50,000

    Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ( faida ) ya 50,000 kila siku GUARANTEED Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa. ***** Swali linaulizwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kumkausha ng'ombe

    🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa kizazi kijacho na uzalishaji mpya wa maziwa. --- 🌟 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE: 1. Huongeza...
  5. JamiiForums Tanzania Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  7. JamiiForums Tanzania Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  8. JamiiForums Tanzania MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  11. JamiiForums Tanzania Taja faida za kuishi peke yako ?

    Mimi napika nikiwa na boksa , alafu nikimaliza kunywa maji narudisha kikombe kwenye vyombo visafi 😜😁 wewe je ??!!!
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua faida za kiswahili hasa katika mambo ya maisha ya sasa

    Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chipsi: Faida na Changamoto kwa Mtaji wa TZS 2M

    Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi Nifanye nini kuepuka 1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine 2.Changamoto na namna ya kuziepuka 3.Nifanye nini ili kuvutia...
  15. JamiiForums Tanzania Wavuta sigara mnapata faida gani?

    Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu. Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Aina za Usajili wa Biashara na Faida Zake

    Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara. A. Usajili wa Jina la Biashara...
  17. JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  18. JamiiForums Tanzania Faida za kuwa na leseni ya biashara

    Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao. 1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
  19. JamiiForums Tanzania MTI HUU NA FAIDA ZAKE KATIKA UJENZI.

    Wakuu, Huu mti unaitwaje? Je una sifa gani katika ujenzi hasa kupauwa? Mbao zake zina uwezo wa kuhimili wadudu waharibifu na mchwa?
  20. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuwa na Madhehebu mengi ya Kikristo. Ukiweza, anzisha dhehebu lako, leo leo!

    Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi hapa ni faida za kuwa na madhehebu mengi ya Kikristo, katika nchi yoyote: Madhehebu yanapokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…