Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina?
Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore
Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna...