faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Masokotz

    Fahamu Faida na Mbinu za Kupeleka Kampuni/ Biashara katika SOKO la HISA

    Habari za wakati; Habari za wakati huu.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Ujenzi wa Taifa na Uchumi binafsi. Leo nataka nilete mada hii kwa ufupi ili nichokozi mjadala uanohusu soko La Hisa.Kabla ya kuanza kwa mjadla niweke wazi kwamba mimi sio mtaalamu wa fedha,wala biashara,wala...
  2. thegreat1510

    Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  3. Ngurukia

    Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  4. Mi mi

    Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  5. Bhizabhityo BB

    PESA MFUKONI ≠ FAIDA: Biashara ni zile zile, kwanini watu hawadumu?

    Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao hawajatambua kwamba wanafanya maamuzi ya kimkakati wakitumia takwimu zisizo sahihi kama dira yao ya...
  6. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  7. REM GROUP

    Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  8. Genius Man

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote ni utumwa tofauti alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru

    Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru. Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  10. Genius Man

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  11. jamaikatz

    Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  12. E

    Faida, changamoto za matumizi miundombinu ya kidigitali katika VICOBA

    Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo. Kisha wameweka utaratibu...
  13. Desierto

    Naombeni kujua faida ya kumpeleka mtoto shule akiwa na miaka 3

    Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke. Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani naipata nikikawahisha kakiwa na miaka 3
  14. stakehigh

    Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  15. Lord Denning

    Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  16. Brayan_Jk

    Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  17. M

    Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  18. mahirtwahir

    Ni Biashara ipi iko na faida mzuri

    Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
  19. Akotia

    Biashara ya kahawa,inavyonitoa kwenye umaskini niliokua nao taratibu.

    Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo...
  20. Fbn

    Kampuni ya Sony wakati inaingia kwenye ushindani wa GAME, Playstation ilijiendesha kwa hasara mwanzoni ila sasa ndio yenye faida kubwa

    Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game. Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
Back
Top Bottom