Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)
Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na juhudi zenu za ujenzi wa taifa.
Leo ninawaletea mjadala kuhusu model ya biashara inayoitwa Destination Marketing Services(DMS).Kampuni zinazofanya shughuli hizi huitwa pia kama Destination Marketing Corporation(DMC)...
Equity incentive plan ni mipango ya Motisha ya Ushiriki iliyoundwa na makampuni kutoa motisha kwa wafanyakazi wao kwa kutoa hisa au chaguo la kununua hisa kama sehemu ya malipo yao. Mipango hii inalenga kumfanya mfanyakazi ajisikie kuwa sehemu ya mafanikio ya kampuni na kumtia moyo kufanya kazi...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa.
Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti.
Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla.
Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika:
“Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
Hello mwanaJF kila ninapopata nafasi nitakujuza mambo ya hovyo ambayo hufanyika serikalini na wengi wetu hatufahamu. Wengi tunafahamu zaidi kuhusu matokeo na sio chanzo.
Wengi wetu hudhani kwamba watumishi wa serikali ni watu makini sana na hufanya majukumu yao kwa ustadi na weledi. Acha...
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
Matatizo ya mifupa
kukosa damu
-matatizo ya mkojo
-kisukali
- Figo
-Ini
-Kansa ya damu
kansa ya utumbo mpana...
Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini;
1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value)
2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa na mwitikio mkubwa kutokana na kampeni zinazofanywa na serikali na wadau wa afya kuhakikisha kila...
Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma.
TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP)
Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU.
Sehemu Ya 1
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ)
As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh.
Peace be upon you as well as God's mercy and blessings.
Amani iwe juu yako pamoja na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu...
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI
1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??
2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine??
3️⃣ Je...
Je umewahi kutaka kufanya Jambo fulani ila ukaacha kulifanya kwa sababu ya kufikri kwamba hutaweza,utadharaulika,watu watakuonaje na kuwa na hofu na kutokujiamini kwa sababu tu ya kuhisi kwamba wewe hufai au kustahili kuwa katika nafasi au kufanya jambo hilo?
Kama jibu ni Ndio basi wewe unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.