fahamu

  1. Pakome

    Sio kweli kuwa Fisi mmoja ana jinsia mbili, fahamu ukweli kuhusiana na mkanganyiko huu

    Mkanganyiko huu unasababishwa na Fisi Jike Maumbile ya Fisi Jike Fisi jike ana kisimi kirefu kinachoitwa pseudo-penis ambacho kinafanana sana na uume wa dume. Pia, midomo yake ya uke imejishika na kutengeneza mfuko unaofanana na korodani (pseudo-scrotum) Uzazi Licha ya kuwa na maumbile...
  2. Morning Joy Motors

    Fahamu Dalili 5 Muhimu Zinazoashiria Hitilafu Kwenye Engine Bearing Zako

    Na Morning Joy Motors Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa. Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
  3. Morning Joy Motors

    Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

    Na Morning Joy Motors +255797113153 Kaloleni, Arusha Tanzania Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine Basi Leo sisi Morning Joy...
  4. T

    Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  5. T

    Je, ni kweli kitambi kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?

    Mandela Katto anahoji kuwa kinasababishwa na ubinafsi au ni maumbile tu ya mtu?
  6. T

    Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  7. Mhaya

    Fahamu kuhusu Uume Kuvunjika (Penile Fracture)

    Leo wanajamiiforum tuzungumzie kuvunjika kwa Uume "Mbolo" ambayo kitaalamu uitwa Penile fracture hii hali uwa ni yenye kuhitaji Matibabu ya dharula au haraka yani ni medical emergency 🚨— ingawa ya jina hilo, lakini hakuna Mfupa ndani ya uume. Hii hali inaweza kukutokea ukiwa unaichapa au huko...
  8. Bei rahisi Electronicks

    Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

    Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026. 🔺 Machi...
  11. Troll JF

    FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  13. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Debentures, Debt Instrument,Mikataba na Dhamana ya Deni

    Habari za wakati huu; ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
  14. K

    Nina shida na Mfumo Wangu wa Fahamu au Ugonjwa wa Akili

    Habari zenu wakuu, samahani, Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi. Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...
  15. Brayan_Jk

    Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  16. baz kaiza

    Msiofahamu, Balile ni Miongoni mwa wanamtandao

    Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
  17. N

    Fahamu Utofauti Kati ya App na Website

    Habari wakuu, Naomba niendelee kutoa baadhi ya elimu kuhusiana na utofauti uliopo kati ya website na app Watu wengi hawaelewi utofauti huu ni nini? Website ni ukurasa au mkusanyiko wa kurasa mtandaoni ambazo mtu anaweza kufikia kupitia kivinjari (browser) kama vile Chrome, Safari, au Firefox...
  18. N

    Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  19. Brain Kingdom

    Fahamu Uwiano wa Vidole vya Mkononi na Sehemu za Siri Kwa Jinsia Zote

    Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue. Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6. Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
  20. N

    Fahamu Domain ni nini na inavyotumika kwenye biashara yako

    Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako. Kwa nini domain ni...
Back
Top Bottom