excel

Microsoft Excel is a spreadsheet developed by Microsoft for Windows, macOS, Android and iOS. It features calculation, graphing tools, pivot tables, and a macro programming language called Visual Basic for Applications. It has been a very widely applied spreadsheet for these platforms, especially since version 5 in 1993, and it has replaced Lotus 1-2-3 as the industry standard for spreadsheets. Excel forms part of the Microsoft Office suite of software.

View More On Wikipedia.org
  1. Umuhimu wa Advanced Excel katika uchambuzi wa taarifa ofisini

    Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo. Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...
  2. I

    msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  3. Mwalimu wa EXCEL na WORD

    Natafuta mtu mwenye uelewa wa juu wa Exel na word. Napatika kigambon DAR ES SALAAM 0764 75 82 84 Hawakage@yahoo.com Asante
  4. Natafuta mwalimu wa EXCEL na Word

    Habari zenu, Natafuta mtu mwenye uelewa wa excel vizuri anielekeze. Yaaani from basic to advanced excel. Anitafute kupitia-Hawakage@yahoo.com 0764758284 Nipo DAR kigamboni
  5. Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

    Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi
  6. namna ya kurecover corrupted excel file

    habari ya kazi wadau. samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word files zikawa hazifunguki pamoja na excel files. sasa kuna documents za muhimu kwa excel. je naweza...
  7. Wapi nitasoma "Quick Books, Tally and Advance Excel" kwa Bei nafuu?

    Habari wakuu, Baada ya miaka kadhaa tangia nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya maswala ya uchumi na fedha nilikua naomba anayefahamu sehemu yoyote Kwa hapa Dar ambapo naweza kwenda kusomea Advance Excel Quick books Tally Kwa Bei nafuu anaelekeze.
  8. Microsoft Excel Short Course

  9. Tangu jana nashindwa kupakua kwenye WhatsApp file aina ya word, pdf na excel

    Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube na google bila mafanikio. Hatua ya mwisho kabisa nime reinstall app lakini bado changamoto iko pale...
  10. T

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  11. T

    Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  12. Ni kwanini watu wengi hasa wafanyabiashara bado wanakomaa na excel badala ya kutumia Microsoft Access yenye ufanisi zaidi?

    Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado wanatumia excel, yani kitu kimoja wanajaza mara tatu tatu au zaidi Kwanini hakuna mazoea ya kutumia...
  13. Naombeni mnisaidie formula ya excel

    Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel. Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box. 1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit 1, 2.2 ni box 2 na unit 2, n.k. Box zikiwa 10 zikitoka 4 jibu liwe 6 Box zikiwa 8 zikitoka 3.3...
  14. H

    Karibuni kuijaribu - Microsoft Excel translator add-in

    Habarini wakuu Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza na unataka kuzitafsiri kwenda kiswahili au lugha nyingine. Si rahisi sana kufanya hivyo kwa kuandika...
  15. Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  16. Advanced ms. Excel for accountants and auditors

    Training Training Training Step Ahead Financial Consultants Limited would like to invite all interested Accountants and Auditors to attend this important training on Advanced Excel for Accountants and Auditors which is scheduled as follows:- Dodoma- from 5th-9th Sept 2022 Morogoro- from...
  17. Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel

    Wakuu habari . Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel. Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila mwanafunzi. Je nikitaka majina yajiapange kulingana na ufaulu wao nafanyaje? Yaani Kama John kwenye...
  18. 16 Business Excel Workbooks

    How much will you make? How much do you require to start? What do you require to start? Get detailed Excel Workbooks answering the above questions about the following businesses: Restaurant General Hardware Fumigation Service Sanitary Bins Services ( Small) Motorcycle Spare Parts Retail...
  19. Msaada wa kusave bidhaa kwenye Excel Sheet

    Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia yuko mbali mauzo una ya ona kwenye computer yako na wewe bila ya kumpigia kuwa ume uza nini na nini
  20. Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…