ethiopia

  1. JamiiForums Tanzania Dangote anavyopata wakati mgumu kuendesha kiwanda chake che Sementi Ethiopia

    Nadhani Aliko Alhaj Dangote hakuwafahamu vizuri kabila la Oromo ambalo wa Ethiopia wengine wanawaita barbaric kwa kuenda kujenga kiwanda chake cha Sementi kwenye ardhi yao ya Oromia. Yeye alikula deal na watu wa Serikali lakini wa Oromo wakamuwekea masharti jinsi ya kukiendesha hicho kiwanda...
  2. JamiiForums Tanzania Abiy Ahmed akiri kwa mara ya kwanza uwezekano wa uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri uwezekano wa kuwepo kwa matendo ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Tigray mwezi Novemba mwaka jana. Abiy Ahmed amekiri pia kwa mara ya kwanza, baada ya mamlaka kukanusha mara zote, kuwa vikosi vya Eritrea...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia katika ziara ya siku 2 nchini Burundi

    February 9, 2021 Bujumbura, Burundi The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit to Burundi from this Thursday. The Ethiopian Head of State arrived at Ndadaye Melchior...
  5. JamiiForums Tanzania Madam Rais wa Ethiopia na ujumbe wake wamepiga barakoa

    Pamoja na kuaminishwa kuwa anakuja COVID free zone lakini Madam President alikumbuka kuvaa barakoa. Hata sanitizer bila shaka alibeba.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia awasili Chato mkoani Geita. Rais Magufuli aahaidi kuwaachia wahamiaji haramu 1789 kutoka Ethiopia bila masharti

    Ndege iliyomleta Rais wa Ethiopia ndio inatua hapa Chato. Rais Magufuli na viongozi wengine wanashangilia ndege hii ya Ethiopian inapotua. Rais Zewde anakuwa kiongozi wa tatu wa kimataifa kufika nchini kukutana na Rais Magufuli kwa mazungumzo kwa mwaka huu 2021, aliyefungua pazia ni waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa Ethiopia Sahle-Work Zewde atakayeitembea Tanzania 25 January 2020

    Kesho (Januari 25, 2021) Tanzania itampokea Mhe. Sahle-Work Zewde, Mwanadiplomasia nguli na Rais wa Ethiopia. Mama huyu alizaliwa Jijini Addis Ababa mnamo Februari 21, 1950 na kupata elimu ya msingi na sekondari katika shule ya Lycee Gibre-Maryam na kisha akajiunga na Chuo Kikuu cha...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  9. JamiiForums Tanzania Msikiti wa al-Najashi: Msikiti wa kwanza Afrika waharibiwa kwa makombora Tigray Ethiopia

    Serikali ya Ethiopia imeahidi kukarabati Msikiti wa kale wa uliyoharibiwa mwezi uliyopita katika mzozo uliyokumba jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo Msikiti wa al-Nejashi uliripotiwa kushambuliwa kwa makombora, vitu ndani kuibwa na makaburi ya kihistoria ya viongozi wa Kiislamu kuharibiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ethiopia yawarejesha wakimbizi waliokimbia mapigano ya Tigray

    Maelfu ya wakimbizi waliokimbia kwenye kambi zao katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, baada ya kambi zao kushambuliwa kwenye mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa kundi la TPLF, wameanza kurejeshwa, kwa mujibu wa serikali ya Ethiopia. Taarifa iliyotolewa leo inasema kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

    Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga. Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo...
  12. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Tigray Ethiopia: Waziri mkuu aamuru mashambulio dhidi ya mji wa Mekele

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema ameanzisha "awamu ya mwisho" ya operesheni ya kijeshi katika jimbo la Tigray kwanza kushambulia mji mkuu wa jimbo hilo, Mekelle. Amesema wanajeshi watajaribu wasiwajeruhi raia na wito kwa watu katika mji huo kusalia majumbani mwao. Hatua hilo inajiri...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka Jumuiya ya Kimataifa isiingilie mzozo wa Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo wajisalimishe ukifikia ukingoni. Katika taarifa yake kiongozi huyo amesema Ethiopia kama taifa huru lina...
  14. JamiiForums Tanzania Wa Tigray Ethiopia wana kila haki ya kujitenga, ni kama Catalonia, White People wa South Africa

    Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80, Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii economic miracle ya Ethiopia tunayooishuhudia ni sababu ya Tigray people Kiongozi Meles Zenawi...
  15. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Ethiopia jimbo la Tigray uko wazi

    Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya Ethiopia chini ya waziri wake mkuu Abiy Ahmed. Tigray ni jimbo la kaskazini magharibi ya Ethiopia...
  16. JamiiForums Tanzania Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya Taifa Addis Ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la Tigray. Jimbo lina Rais lina Bunge lina...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia dispatches Deputy Prime Minister to brief President Kenyatta over Tigray law enforcement

    Ethiopia's Deputy Prime Minister Demeke Mekonnen/SBC/File NAIROBI, Kenya Nov 16 – Ethiopia’s Deputy Prime Minister Demeke Mekonnen was due in Kenya on Monday to brief President Uhuru Kenyatta on the law enforcement operation in the northern Tigray region. Diplomatic sources told Capital FM...
  18. JamiiForums Tanzania Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

    Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo. Ethiopia ina makabila makuu manne. Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia 30, Tigray asilimia 6 na wasomali asilimia 6. Hawa wengi wanaishi kwenye majimbo yao ambayo yana Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

    Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34. Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
  20. JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani Ethiopia kuanzia leo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani nchini Ethiopia kati ya serikali na maafisa wa eneo la Tigray. Kulingana shirika la habari la AFP, maafisa wa serikali ya Ethiopia wasiotaka kutajwa wamesema kwamba mazungumzo hayo yamepangwa kuanza Jumatatu, kaskazini mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…