ethiopia

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia will not close Kenyan Embassy

    NAIROBI, Kenya July 6 – Ethiopia is set to close more than 30 embassies across the world, but Kenya will not be affected. Sources told Capital FM on Tuesday that it is true more than 30 embassies will be closed. ”It is true, but the Ethiopian embassy in Kenya will not be closed,” a source...
  2. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti

    Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano. Chama cha (TPLF)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya mateka ya majeshi ya Ethiopia yalitekwa na Tigray Defense forces yafikishwa mji mkuu wa Tigray

    Inakuwaje WanaJF! Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray...
  4. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Serikali yatoa wito kwa waasi wa Tigray kukubali kumalizika mapigano

    Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa. Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Ethiopia athibitisha kuondoka kwa wanajeshi wake, Mekelle

    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo ni kutokana na kuwa wameondoka na kuwa mji huo haukuwa tena kiini mizozo. Afisa mwingine wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia. Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuingia Ethiopia, Angola waisihi SAFARICOM Ikawekeze huko.

    Yani bila hata kufanyiwa open international tender angalau Safaricom ijifanye inashindana na kampuni nyingine za kimataifa, serekali ya Angola imeketi chini na kuamua hakuna mwengine ambae ako na product kama M-PESA kwahivyo afadhali watumie diplomasia kuialika Safaricom ikaanzisha huduma hio...
  9. JamiiForums Tanzania Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu leo licha ya maandalizi duni

    Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu hii leo baada ya kuahirishwa mara mbili kutokana na mlipuko wa virusi vya corona na kutoa nafasi ya kukamilisha maandalizi. Huu ni uchaguzi wa kwanza unaompa changamoto Waziri Mkuu na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Abiy Ahmed aliyeingia madarakani mwaka 2018...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru in Ethiopia to witness award of telecom licence to Safaricom

    Kenya's President Uhuru Kenyatta has arrived in the Ethiopian capital Addis Ababa for an official visit on Tuesday that will include, among other bilateral issues, the formal award of a telecom operating licence to a consortium led by Safaricom. The official award of the licence will also...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka vizuizi dhidi ya Ethiopia na Eritrea

    Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama. Maelfu waliuawa na wengine kulazimika kukimbia makazi yao tangu Novemba baada ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia Awards Safaricom First Telecom License

    It's big win for Kenya. Safaricom consortium wins Ethiopia licence bid on Sh91.8bn offer Saturday, May 22, 2021 Safaricom CEO Peter Ndegwa during the telco's 20-year anniversary celebration at the Serena Hotel in Nairobi on October 27, 2020. Diana Ngila | Nation Media Group What you need to...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom takes 56pc stake in Ethiopia firm

    SUMMARY Details of the consortium’s latest ownership structure was disclosed Tuesday by South Africa-based Vodacom Group which owns a 34.9 percent stake in the Nairobi Securities Exchange-listed firm. Safaricom was allowed to lead the consortium for several reasons, including Kenya’s...
  14. JamiiForums Tanzania Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  15. JamiiForums Tanzania WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

    Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
  17. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  18. JamiiForums Tanzania Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

    Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania). Akiwa ndani ya ndege 'Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Misri na Ethiopia zipo katika hati hati ya kuingia vitani juu ya bwawa la kufua umeme linalojengwa na Ethiopia

    Bwawa la Grand Renaissance Dam ambalo limekuwa likijengwa nchini Ethiopia kwa zaidi ya miaka 10 sasa linatajwa kuwa ndio litakuwa kubwa kabisa Afrika kwa sasa. Bwawa hili limefikia hatua ya ujazaji maji, na Misri analalamika kwamba kiwango cha maji ya mto Nile yanayowafikia kitapungua na hivyo...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia deal earns KenGen Sh440m

    Kenya Electricity Generating Company (KenGen) has booked Sh440.34 million revenue from drilling geothermal wells in Ethiopia, offering a boost to its earnings. The earnings were booked by KenGen Ethiopia — a branch set up by KenGen in 2019 to facilitate the execution of commercial consultancy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…