ess

S, or s, is the nineteenth letter of the Latin alphabet, used in the modern English alphabet, the alphabets of other western European languages and others worldwide. Its name in English is ess (pronounced ), plural esses.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    KERO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Salaam! Kuleta mfumo wa ESS ni jambo zuri hasa katika uombaji wa mikopo binafsi. Tatizo lililopo, watumishi wengi hawana uelewa wa athari za hii mikopo, maana imefikia mpaka 40% ya riba. Unakopa 16M, unapewa 14M then unalipa 70M wao wanapata 50M+ Serikali kupitia Utumishi, mmesajili taasisi...
  2. S

    Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  3. A

    KERO Changamoto ya mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma, nani awajibishwe?

    Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ? Hawakujua kuwa mfumo unapaswa kuwa bora sana kuliko ulivyo sasa .. Kumbuka huu mfumo ndio unaonesha uwajibikaji...
  4. Meddy MD

    ESS Portal challenges

    Nilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
  5. JimCarrey

    Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  6. Kubwjing

    ESS Utumishi kwanini hamruhusu Loan Take Over? Mnatutesa wengi

    Wasalaam Aleykhum Ndugu zangu Ebwana mfumo huu mzuri wa kiutumishi umerahisisha mambo mengi kwakweli. Sie tunafanya mambo mengi wenyewe popote bila kwenda kuweka foleni katika mabenki kote huko bara na hapa Zanzibar pia LAKINI Changamoto ipo Sasa nkiwa bara nilitaka kuhamisha ama kuuza mkopo...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  8. S

    Katibu Mkuu utumishi, hamuoni ni kama kuhujumu HESLB kama mpaka leo mmeshindwa kuwezesha mfumo wa ESS kuuza madeni ya watumishi likiwemo la HESLB?

    ESS ni mfumo wa serikali unaoendeshwa na kusimamiwa na Ofisi ya Raisi Utumishi. Mfumo huu hutumika kwa mambo mengi ya kiutumishi yanaywahusu watumishi wa umma kama vile kufanya maombi ya likizo, uhamisho, kupats salary slip, n.k online. Pamoja na mambo mengine, mfumo huu pia umerahisha uomboji...
  9. A

    KERO NMB na ESS utumishi kuna nini kinaendelea?

    Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine, ikiwa baadhi ya watumishi ambao wanamikopo katika bank nyingine tofauti na NMB kwenye Mfumo wa ESS...
  10. A

    KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
  11. D

    Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  12. Ahead

    DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

    Hii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano, kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela, watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji...
  13. D

    PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  14. M

    ESS... E-loan shida ni nini!!?

    Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
  15. Outsiders

    KERO Changamoto za watumishi na taasisi za mikopo kwenye mfumo wa ESS

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana pale mtumishi anapokopa kwenye ma-bank kama NMB,CRDB na taasisi zingine kupitia mfumo wa ESS,, Changamoto hizo ni kama ifuatavyo; 1. Mtumishi mwenye kipacho cha chini aliyekopa labda 20Mil,, anatakiwa rudisha riba 15Mil jumla anakua na deni la 35Mil kwa miaka 7...
  16. I

    Je serikali imeondoa kukopa kwa ESS?

    Wadau salam. Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali. Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
  17. REJESHO HURU

    ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

    Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu baada ya kupunguza migogoro sasa kinaongeza migogoro kwa mtumishi na mwajiri wake hasa serikali...
  18. Mlalamikaji daily

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Ni balaa, Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana Dah
  19. S

    Waziri wa Utumishi, options za loan takeover na restructuring kwenye mfumo wa ESS utumishi hazifanyi kazi. Hata deni la HESLB mpaka leo haliuzikii!!!

    Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa saaa yanafanyika online na kwa haraka zaidi tofauti na zamani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo sasa...
  20. A

    KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
Back
Top Bottom