Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering).
Nina uzoefu katika;
-kufuatilia utendaji wa mitambo
-kuhakikisha usalama kazini
-Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD
-Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila...