Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,026
1,267
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
 
Nina air compressor machine, Ni engersollrand compressor pistoni 2, Ina engine ya Deutz.
Engine F2L 1011.
Tatizo lilianza kwa kuvuja Gasket,nikaweka gasket mpyaaa, Ila ikawa na tatizo la kuchelewa kuwaka yaan unashikilia starter hata kwa dk2 ndo inawaka,
Ukitenganisha kinu Cha upepo na engine, engine inawaka bila shida Tena jino moja tu inawaka, Ila ukiunganisha Tena kinu Cha kuzalisha shia upepo inachelewa kuwaka, na pia ukiruhusu upepo engine inazidiwa mpaka inazima yenyewe.
Je tatizo laweza kua ni Nini fundi!??
 
Swali langu, hakuna njia kumgeuza x wangu kuwa malighafi ya mafuta.?
 
Nina air compressor machine, Ni engersollrand compressor pistoni 2, Ina engine ya Deutz.
Engine F2L 1011.
Tatizo lilianza kwa kuvuja Gasket,nikaweka gasket mpyaaa, Ila ikawa na tatizo la kuchelewa kuwaka yaan unashikilia starter hata kwa dk2 ndo inawaka,
Ukitenganisha kinu Cha upepo na engine, engine inawaka bila shida Tena jino moja tu inawaka, Ila ukiunganisha Tena kinu Cha kuzalisha shia upepo inachelewa kuwaka, na pia ukiruhusu upepo engine inazidiwa mpaka inazima yenyewe.
Je tatizo laweza kua ni Nini fundi!??
Kama hiyo unayosema gasket una maanisha cylinder head gasket basi kuna ishu na compression, engine haina compression inayotakiwa kwa hivyo haina nguvu yake.
 
Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sana
IMG_20220318_143249_130.jpg
 
Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Overhaul inahitaji umakini sana. Ni muhimu sana sana kupata manual ya hiyo mashine ili kujua wao wanahitaji vipimo gani kwenye kila bolt na nati unayofunga, siyo kutumia uzoefu. Maana kwenye cylinder head mfano, engine nyingi wenyewe wanataka zile main bolts za cylinder head kuwekwa mpya kila ukifungua. Na zenyewe zina specification zake siyo kila bolt itafaa.
 
Uko sawa, na ongezea labda kupinda kwa cylinder head.
 
Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Asante kwa Swali zuri.
Kwa upande wa Deutz engine na Engine zote za High speed kuanzia Rpm 2500 had 3500. Hzi mara nyng sana znatka ringz ziwe original. Pia kabla ya kufunga rings mpya unatakiwa upime Sleeve size. Kama sleeve size zmetanuka lazima engine ichelewe kuwaka cz Compression inatokea chini.
2. Angalia upande wa Pump.
Pump inawezekana ina internal leaking kwa hyo ukiwasha bla mzigo inawaka vzur. Ushaur nenda kapime pump na kuongezea speed. Kwa maelezo na maswali zaid n check kwa 0713 302 846
 
Overhaul inahitaji umakini sana. Ni muhimu sana sana kupata manual ya hiyo mashine ili kujua wao wanahitaji vipimo gani kwenye kila bolt na nati unayofunga, siyo kutumia uzoefu. Maana kwenye cylinder head mfano, engine nyingi wenyewe wanataka zile main bolts za cylinder head kuwekwa mpya kila ukifungua. Na zenyewe zina specification zake siyo kila bolt itafaa.

tatizo lako lipo kwenye gasket ulipo nunua hukuangalia matundu ya maji na hewa kama yapo sawa kwa idadi yake kuna gasketi zingine tundu moja linapungua ina bidi uitobolee jitahidini kununua kitu original na iwe na mark yake sio unaambiwa hii orginal kumbe fake gasketi.
 
Asante kwa Swali zuri.
Kwa upande wa Deutz engine na Engine zote za High speed kuanzia Rpm 2500 had 3500. Hzi mara nyng sana znatka ringz ziwe original. Pia kabla ya kufunga rings mpya unatakiwa upime Sleeve size. Kama sleeve size zmetanuka lazima engine ichelewe kuwaka cz Compression inatokea chini.
2. Angalia upande wa Pump.
Pump inawezekana ina internal leaking kwa hyo ukiwasha bla mzigo inawaka vzur. Ushaur nenda kapime pump na kuongezea speed. Kwa maelezo na maswali zaid n check kwa 0713 302 846
Poa kaka nitakuchek soon mm nimenunua DCM truck kwa ajili ya kulipeleka minadan nataka overhaul ya engine
 
Kwanini gari za diesel huwa zinasumbua kuwaka mida ya asubuhi au nyakati za baridi? Na nipe njia nzuri ya kutatua hiyo changamoto.
 
tatizo lako lipo kwenye gasket ulipo nunua hukuangalia matundu ya maji na hewa kama yapo sawa kwa idadi yake kuna gasketi zingine tundu moja linapungua ina bidi uitobolee jitahidini kununua kitu original na iwe na mark yake sio unaambiwa hii orginal kumbe fake gasketi.
Inawezekana ni kweli, lkn engine ya hiyo compressor haitumii maji, yaani sio water cooling, Ni oil cooling, Ina oil cooler ambayo ipo attached kwenye engine,
Pia kupata gasket original kabisa Ni mtihani labda iwe used.
 
Asante kwa Swali zuri.
Kwa upande wa Deutz engine na Engine zote za High speed kuanzia Rpm 2500 had 3500. Hzi mara nyng sana znatka ringz ziwe original. Pia kabla ya kufunga rings mpya unatakiwa upime Sleeve size. Kama sleeve size zmetanuka lazima engine ichelewe kuwaka cz Compression inatokea chini.
2. Angalia upande wa Pump.
Pump inawezekana ina internal leaking kwa hyo ukiwasha bla mzigo inawaka vzur. Ushaur nenda kapime pump na kuongezea speed. Kwa maelezo na maswali zaid n check kwa 0713 302 846
Ikitokea kua sleeves zimetanuka solution yake Ni ipi,
 
Back
Top Bottom