Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Rav4 kili time cc 1750 1zz Engine

Nicsta

Member
May 8, 2021
35
27
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari.

Naomba saana,
Mwishowe kwa Mil 10 naweza pata namba D?
 
Chukua Mkuu average ni 10 Kms Kwa 1 litre
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari,,Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake ,AC(how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari,,,
Naomba saana,,
Mwishowe kwa Mil 10 naweza pata namba D???
 
Wadau nasubiri
Cheki hii ikikufaa tuwasiliane






















IMG-20210814-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom